Ayatollah the Bird
JF-Expert Member
- Jul 30, 2026
- 327
- 703
kipind nipo chuga nlikuwaga na det mwanachuo.dada huyu nilimpenda kweli mno. nilikuwa namlipia kodi, nikamnunulia tv,fridge,subwoofer na vitu vingine vingi mno. penzi letu lilidumu kama mwaka hiv.demu alibadilika ghafla akanichana ghafla vuh! akawa simu hapokei na akipokea anatoa kashfa tupo kumbe ana mtu. nilijiona fala mno nilipanga kufanya tukio ila niliona bora nikubaliane na matokeo. japo nilimuamini ila nilijua miba wa kujichoma hauambiwi pole.