Ni mwezi wa toba na kumrudia mwenyezi Mungu kwa ndugu zetu waislam... Tuwaombee na kuwatakia toba na mfungo wenye kheri
Tusiwakwaze... Tusiwashawishi... Tusiwatie majaribuni...
Hail ya hewa huku kwetu imesababisha kutoonekana kwa mwezi lakini tayari Ramadhan imeanza
Tunawatakia Waislam wote Ramadhan kareem