MASHANJARA
JF-Expert Member
- Apr 2, 2012
- 379
- 500
Na una uhakika kuwa hatuna mtu anayefanya kazi badala yake? Umesikiliza Bunge linaloendelea? Kama umesikiliza, maswali ya Wizara ya Ulinzi yanajibiwa na nani Bungeni? Tumpeni mama nafasi afanye kazi kwa utaratibu na kwa namna hekima yake inavyomtumaJe, nchi inaendaje? Kwa sasa maana ni mwezi sasa hatuna Waziri wa Ulinzi tangu Kwandikwa Atutoke.
Wataalamu wa mambo mnaweza shea chochote kwenye hili.
PoleTegemea kumpata soon na atakuwa mwanamke. Ni uoni wangu.
Kwa waziri huwa hana kazi!Naibu waziri yupo.makatibu wakuu wapo.unataka Nini?au hujalipwa mshahara August?
Yaani wizara ya ulinzi si muhimu kwa raia? PoleHii wizara haihusiani na maisha ya wananchi kila siku iendayo kwa Mungu . Ni wizara muhimu lakini si kwa raia.
Unaelewa ulichojibu lakini !!. Hiyo hiyo wiraza ni ya ulinzi nchi na mipaka yake. Maisha ya kila siku ya raia iko mikononi mwa wizara ya mambo ya ndani.Yaani wizara ya ulinzi si muhimu kwa raia? Pole
Yupo Naibu Waziri au wizara hii haikuwa na naibu waziri? Hata hivyo Katibu Mkuu wa wizara yupo na wizara ina fanya kazi vizuri tu.Je, nchi inaendaje? Kwa sasa maana ni mwezi sasa hatuna Waziri wa Ulinzi tangu Kwandikwa Atutoke.
Wataalamu wa mambo mnaweza shea chochote kwenye hili.
Soma TANZIA - Elias Kwandikwa, Waziri wa Ulinzi na Jeshi la kujenga Taifa afariki dunia
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji1786][emoji38]Mara ya mwisho kuwa na Mkuu wa Majeshi na Waziri wa Ulinzi kutokea Zanzibar ilikuwa lini?
Tanzania tunahitaji ulinzi kwa usalama wa raia na Mali zao, hatuhitaji waziriJe, nchi inaendaje? Kwa sasa maana ni mwezi sasa hatuna Waziri wa Ulinzi tangu Kwandikwa Atutoke.
Wataalamu wa mambo mnaweza shea chochote kwenye hili.
Soma TANZIA - Elias Kwandikwa, Waziri wa Ulinzi na Jeshi la kujenga Taifa afariki dunia