mbona unakimbia hivyo, hebu tuambie ni kwa nini amepinduliwa?Kichwa Kina Jieleza Hapo Juu.
Mkutano Wa Kumuengua Ulifanyika Katika Ukumbi Wa Shimoni Village Na Kuhudhuliwa Na Wanachama Akiwemo Katibu Wake Ambaye Aliongoza Mapinduzi Hayo.Na Nafasi Hiyo Ili Tangazwa Kwa Anaye Taka Kugombea.Na Baadhi Ya Wajumbe Walichukua Fom.Uchaguzi Utafanyika Kesho J'mosi Katika Ukumbi Wa Champion Mda Ni Saa Tisa Jioni.
Kichwa Kina Jieleza Hapo Juu.

Sababu Za Kumvua Uongozi
Kuto Uzika
Ni Mchafu/hajipendi
Ulevi
Alipewa Cheo Kishkaji/hakuchaguliwa
Siyo Mtunza Siri
Yupo Ki Masilahi
Sababu Za Kumvua Uongozi
Kuto Uzika
Ni Mchafu/hajipendi
Ulevi
Alipewa Cheo Kishkaji/hakuchaguliwa
Siyo Mtunza Siri
Yupo Ki Masilahi
Atakuwa ametumwa na mbowe bora wamemtoa humo
kwani ACT ndo niini?