Mwenzi wangu ana mbweche kubwa

Status
Not open for further replies.
Hiyo ndo kabisa atakuwa wala hagusi kuta za iyu mbeche

imebidi nicheke tu......mapumba yanatoka?....ana bacteria huyo tena ni mgonjwa kweli ...mshauri akamuone daktari

Nimcheka sana leo mpaka watu wakanishangaa anatoa pumba?

Piga chini mwana, mbona minato imejaa sana town? Kula kitu roho inapenda mkulu.

Mkuu angalia hizo tarehe za kujoin na then unganisha na lugha aliyotumia na inawezekana ndio topic yake ya kwanza
NA then mambo anayoyaongea

Anyway.. watu watakimbilia ni uhuru wa kuongea.. lakini kinacho - matter sana nadhani shule bado hazijafunguliwa ..au kama si hivyo basi ni issue kama iliyonikuta mimi ambaye.. Upstairs (kichwani) kwangu kumejaa maji badala ya ubongo..Hivyo kunanifanya kuwa Great thinker siyo kwa kwenda mbele..bali ni kwa kurudi nyuma kwa kasi ya ajabu..

Kwani yeye huwa anasemaje mkiwa ktk shughuli kwene 6kwa6...yy anaenjoy!!! Na izo pumba yy hazioni?

Jamani mwenzenu napata tabu, mwenzi wangu wa kike ana mbweche kubwa ajabu kiasi kwamba sipati raha afu anatoka vitu kama mapumbapumba hivi, kumwacha siwezi nifanyeje?

Kama ataoa pumba fugeni kuku wakisasa nadhani hutakua na garama ya chakula cha kuku.

This is very sad and very disheartening kwa wanaMMU

Hata kuna uhuru wa kuongea openly, lazima tuheshimu na kusitiri watu waliojitoa kwetu hasa kama they trust us!! Kama ana matatizo basi ungemsaidia kwa kwenda au kumshauri aende kwa daktari.

This is unacceptable, uncalled for and insulting to the one who trust you

Naomba usirudie tena kuleta haya kwenye MMU.... umemdhalilisha mwanamke ambaye labda anakusetiri kila siku na mapungufu yako, na pia anayehitaji msaada wako

Mkuu achana nao wakikua watajua kuwa kuna mada za kuongea openly na mada ambazo inabidi uwe na msiri wako unayemwamini ambaye unaweza kuketi nae ukamweleza na akakupa ushauri
Itashangaza siku unaamka unakutana na mada Tulizo: Jana nimekula mwanamke wa pale Ohio watu watashika midomo

Jamani mwenzenu napata tabu, mwenzi wangu wa kike ana mbweche kubwa ajabu kiasi kwamba sipati raha afu anatoka vitu kama mapumbapumba hivi, kumwacha siwezi nifanyeje?

hayo mapumba sio tatizo unaweza kutumia kama chakula cha mifugo

MTM ndo maana nikaanza na ushauri mapema kabisa
Hili ni jambo la yeye kukaa na mwenzake wakaongea wakalitafutia ufumbuzi wao wenyewe na sio la kuja kuanika mtandaoni
Je na huyo dada nae akija akianika mapungufu yake itakuwaje
Na inawezekana anayo mengi ila dada wa watu anayavumilia

Umenena mkuu..imagine angekuwa ni yy ameanikwa humu watu wana discuss about his ** open namna hii..its unethical and ridiculous topic

Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…