chungu tamu
New Member
- Mar 21, 2013
- 3
- 0
Nipo ktk mahusiano na kijana m1 kwa muda mrefu sasa.ktk harakati za maisha 2kajaliwa kupata mtoto m1.ikabidi nihame kwangu na kwenda kwa mwenzangu ili 2lee mtoto na kupanga mambo mengine.familia yangu ilipogundua kuwa nimehamia kwa mwanaume imejitenga na mm kabisa hakuna mawacliano ht kidogo.na walisema ili niweze kuwacliana nao ni mpk nihame hapa yani niondoke kwa huyu mwananaume na 2achane kabisa.sasa nashindwa kuamua je niondoke mwanangu akose malezi ya baba au nifanyeje?plz nisaidieni