Mara utasikia mkandarasi wa barabara fulani,mkandarasi wa jengo au daraja fulani lakini pia nimesikia kwa maradona amesaini kandarasi ya kuifundisha timu moja huko uarabuni.Kwa kuzingatia hii mifano,nini maana ya neno MKANDARASI?naomba msaada wenu.
<br />
<br />
Akhsante mkuu,lakini sikuhitaji tofauti ya mkandarasi na kandarasi,nahitaji ufafanuzi wa neno MKANDARASI.Kwa mfano FUNDI MWASHI=fundi mjenzi wa nyumba.MKANDARASI=?
Me nimeelewa hv jamani. Contract ni mkataba na constractor ni yule anaye enhance mkataba kwa kile alichotakiwa kufanya na client! Samahani km nimechanganya wana jf!..

Mkandarasi (contractor) ni mtu ama kampuni linalokubadiliana na upande wa pili(contractee) kufanya shughuli ya kimkataba(contract). Nikizungumzia mkataba ninamaanisha kufanya kazi fulani kwa makubaliano ya kiasi fulani cha fedha, muda wa kuimaliza hiyo kazi na ubora(specifications) mlioridhia.
Mkandarasi sio lazima awe mtu wa construction pekee, hata mama ntilie au fundi cherehani au mtu wa usafi anaweza akaramba kandarasi kama kawa. Simply put ni kwamba mkandarasi ni mtu yeyote au kampuni inayokuwa imejitia kifungo kwenye kandarasi fulani.