Mwenzenu sielewi ni kwanini?

Ni nyie tu ndio amjui kipi choigwa. Hata mkitendewa vizuri vingi hamvioni.

Wacha porojo, wewe unaejua tuoneshe Nyerere ana kipi kinachoigwa?

Labda ungesema anaejiita Yericko Nyerere kajipachika jina la Nyerere wakati hana chembe ya Unyerere.
 
Last edited by a moderator:

Nabii huwa hakubaliki kwao
 
Labda niongelee Mzee Mandela kwa vitu vikuuu 2
1) aliweza kuwasamehe makaburu na kuweza kukaa nao meza moja pamoja na shuruba waliyompa kwa miongo kadha. wazungu wenyewe hawaamini ndo maana wote wameishia kumsifu na kutuma salamu za rambix2. imagine kutoka kwenye black list ya wamerekani hadi world hero.
2) ameondoka madarakani na mpaka amekufa jana watu wake wote bado wanampenda kwa kujitolea kwake kwao.
 
Umesema vyema ndugu.
 
 
Viongozi wa zamani kama mandela, nyerere wanatofautiana na wasasa wa zamani walijitoa kwa ajili ya wengine, walihangaika kutafuta furaha, amani, haki ya wengine waliweka maslahi ya wengine mbele yao nyuma ni mfano wa kuigwa viongozi kama hao sasa hakuna wamebaki wa kuweka maslahi yao mbele ya maslahi ya taifa nyuma wapumzike kwa amani
 

Kumfananisha Nyerere na Mandela ni kama kufananisha Mlima Kilimanjaro na Kichuguu.
 
Wana mengi ambayo hayatoshi hata kuandikwa.wao walitanguliza maslahi ya taifa na wananchi wake na kumuogopa mungu
walizionyesha busara zao na hekima walizojaaliwa kwa kila mtu na hawakuwa wajivuni
vyombo vyote vya habari duniani kote vimepiga kambi habari ya msiba wa Mandela kuonyesha alivyokubalika si SA tu bali ulimwengu mzima
Subiri kiongozi fisadi aage dunia kama dunia kana itamzungumzia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…