bht
JF-Expert Member
- May 14, 2009
- 10,336
- 1,862
acha utapeli bana...Khaaaa! hivi si huwa kuna sentensi kila siku nairejea rejea kwa ajili yako na ilinichukua wiki mbili kuivumbua, sasa waswasi wa nini?
think! Lizzy think!
acha utapeli bana...Khaaaa! hivi si huwa kuna sentensi kila siku nairejea rejea kwa ajili yako na ilinichukua wiki mbili kuivumbua, sasa waswasi wa nini?
think! Lizzy think!
Haaaa haaa haaa,heheh hapa shwari kuliko ikulu, halaf jana nilikuota unanipigisha mswaki, lahaula ! nashkuru limbwata haliambukizi ukimwi khaaaa!
Asante mami. . .
Kloro unaona ehhhh?
Nauweka ukweli hadharani! Mwenzenu mwenye kucha ndefu na za rangi, macho mekundu na 'kifua cha haja' na 'usafiri' unaohanikizwa na mgongo wa kubinuka, hata ghorofa ntamjengea. Huwa sijiweeeeeeeeeezi kabisa na kila kitu ntakachoombwa ntakitimiza. Nihurumieni jamani kwani huwa inanibidi nifanye kazi kwa bidii zaidi ili nisije nikavikosa vitu hivi kwa kuibiwa na mafisadi wa mapenzi.
Mweeeeeeeeee!
jf haiishiwa miujiza, mtu ana mikucha mireffu, macho meundu, kifua cha haja? Huyo lazima awe msukule tu.
hakawii kukuambia hati miliki ya magogoni kaandikisha jina lako...
jf haiishiwa miujiza, mtu ana mikucha mireffu, macho meundu, kifua cha haja? Huyo lazima awe msukule tu.