Mwenzenu Kucha ndefu vidoleni, macho mekundu na 'kifua' cha haja, mhhhhhhhhh! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mwenzenu Kucha ndefu vidoleni, macho mekundu na 'kifua' cha haja, mhhhhhhhhh!

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by ndyoko, Nov 29, 2011.

 1. ndyoko

  ndyoko JF-Expert Member

  #1
  Nov 29, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 4,974
  Likes Received: 279
  Trophy Points: 180
  Nauweka ukweli hadharani! Mwenzenu mwenye kucha ndefu na za rangi, macho mekundu na 'kifua cha haja' na 'usafiri' unaohanikizwa na mgongo wa kubinuka, hata ghorofa ntamjengea. Huwa sijiweeeeeeeeeezi kabisa na kila kitu ntakachoombwa ntakitimiza. Nihurumieni jamani kwani huwa inanibidi nifanye kazi kwa bidii zaidi ili nisije nikavikosa vitu hivi kwa kuibiwa na mafisadi wa mapenzi.

  Mweeeeeeeeee!
   
 2. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #2
  Nov 29, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Hili ni tangazo ama?
   
 3. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #3
  Nov 29, 2011
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,037
  Trophy Points: 280
  au ni maelezo.....atueleweshe....
   
 4. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #4
  Nov 29, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,450
  Likes Received: 22,397
  Trophy Points: 280
  jf haiishiwa miujiza, mtu ana mikucha mireffu, macho meundu, kifua cha haja? Huyo lazima awe msukule tu.
   
 5. klorokwini

  klorokwini JF-Expert Member

  #5
  Nov 29, 2011
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 8,710
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 135
  Kwavile sredi haieleweki mimi nimeona bora niitumie hii nafasi kuwasalimia tu.
  gud morning warembo, mnapendeza kweli mkikaa mmoja juu ya mwenziwe (post zenu)
   
 6. Cantalisia

  Cantalisia JF-Expert Member

  #6
  Nov 29, 2011
  Joined: Sep 26, 2011
  Messages: 5,229
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Hapa na mie hapa nimetoka kapa!
   
 7. BelindaJacob

  BelindaJacob JF-Expert Member

  #7
  Nov 29, 2011
  Joined: Nov 24, 2008
  Messages: 6,061
  Likes Received: 476
  Trophy Points: 180
  Utajengea wangapi kwa mtindo huo??
   
 8. Cantalisia

  Cantalisia JF-Expert Member

  #8
  Nov 29, 2011
  Joined: Sep 26, 2011
  Messages: 5,229
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Na mie naomba nikusaliamie kupitia hapa!
  Habari yako binafsi mpendwa wangu?
  Mie mzima sana.
   
 9. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #9
  Nov 29, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Heheheh. . .good morning Kloro.Ila ingependeza zaidi kama yakwako ingetutenganisha.Lolzzz
   
 10. klorokwini

  klorokwini JF-Expert Member

  #10
  Nov 29, 2011
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 8,710
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 135
  heheh hapa shwari kuliko ikulu, halaf jana nilikuota unanipigisha mswaki, lahaula ! nashkuru limbwata haliambukizi ukimwi khaaaa!
   
 11. ndyoko

  ndyoko JF-Expert Member

  #11
  Nov 29, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 4,974
  Likes Received: 279
  Trophy Points: 180
  siku nyingi kweli zimepita, kumbe upo!
   
 12. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #12
  Nov 29, 2011
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,876
  Likes Received: 6,231
  Trophy Points: 280
  macho mekundu? kweli kila mtu na ugonjwa wake
   
 13. klorokwini

  klorokwini JF-Expert Member

  #13
  Nov 29, 2011
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 8,710
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 135
  hehehe ningefrahia pia, tungeita post threesome, jibaba niko katikati ya Lizzy na Preta khaaaa! wangenikoma!
   
 14. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #14
  Nov 29, 2011
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,548
  Likes Received: 2,276
  Trophy Points: 280
  Macho mekundu labda anamaanisha wanakula wote dope hizo ndo sgn zakwanza kujua mshirika wake :photo:
   
 15. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #15
  Nov 29, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Hehehehe.
  Alafu wewe nilikua nimesahau ila umenikumbusha kesi yako ya jana.Kumbe macho yangu wala sio ya kidaku. . .
   
 16. klorokwini

  klorokwini JF-Expert Member

  #16
  Nov 29, 2011
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 8,710
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 135
  Khaaa! tayari kalaptop kameanza matatizo ya charge tena, baadae utakuwepo?
  hakyanani sikimbii ni haka kalaptopu tu
   
 17. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #17
  Nov 29, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Eti ehhhh. . . ukirudi tusijuane.
  Ngoja nitafute mdeshi deshi mpya.
   
 18. klorokwini

  klorokwini JF-Expert Member

  #18
  Nov 29, 2011
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 8,710
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 135
  Khaaaa! hivi si huwa kuna sentensi kila siku nairejea rejea kwa ajili yako na ilinichukua wiki mbili kuivumbua, sasa waswasi wa nini?
  think! Lizzy think!
   
 19. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #19
  Nov 29, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,450
  Likes Received: 22,397
  Trophy Points: 280
  au wote wanakulaga kungu manga?
   
 20. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #20
  Nov 29, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Hehehehe. . .
  Nipe hiyo sentensi nione kama inatosha kukusamehe.
  Alafu nikikusamehe tunaenda wote kuwapiga biti kina naniii.
   
Loading...