sukariyawarembo
Senior Member
- Aug 2, 2019
- 169
- 119
Mahusiano ya kimasikini kama hayo imagine 20,000 eti namkopa.......wanawake epukeni wanaumme lumpens na peasants hata kama ni mapezi ila hapanaKuna msichana niko nae kwenye mahusiano kwa muda sasa.
Kawaida yake huwa haniombi pesa sana,ni mpambanaji sana japo biashara zake ni ndogo ndogo.
Juzi kaniomba 20000 nimkope atanirudishia ndani ya wiki moja.
Nawaza sijui nimpe au nisimpe maana kumdai demu wako ni tabu sana halafu tena nisimdai naona 20 yangu itapotea bure
NB; mi so mtu wa kuhonga ovyo na mgumu sana kutoa hela kwa mtu yeyote yule hata awe ndugu angu.
Itakuwa muuza kalanga huyo hahahaaa...Mpambanaji anakosaje 20000 hebu kua siriazi kidogo