NUCLEAR BOMB
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 342
- 328
Ahsante mkuu Mungu ni mwema na anayo sababu katika maisha yetu.Aisee..pole kwa unayoyapitia mkuu..Hizo ni changamoto katika ndoa
muumba usikate tamaaPole sana ila yu pamoja nanyi
Ok, nimejitahidi nimeshindwa ila ngoja niendelee kusubiri muujiza wa Mungu mkuuJaribu kuwa karibu naye saana ( jipendekeze) huenda naye anakusubiria wewe ndipo atakuonesha upendo wake
Kama for 7 years upendo umeshindwa kujengeka, sidhani kama kujaribu zaidi itasaidia. Sasa hivi kwa anavoelezea inaonekana wanaishi kwa mazoea tuPole lakn u deserve to be happy usiridhke na hayo maisha u can work on ur relationshp na mkaish vzur tu watu wanajifunza kupenda so unaweza kuanza kutafuta solution onana na wataalam wa mahusiano watakusaidia
Huenda lakini nawashauri vizuri wengine wanafanikiwa kuishi poa hawajui majaribu yangu.Una tatizo la kisaikolojia si bure, mume na mke kabisa miezi mitatu msipoongea poa tu. Basi hata yeye hafurahishwi na wewe.
Binafsi natamani iwe hivyo lakini nimeshindwa kwani ananipa vitisho isitoshe tushazaa nae mtoto.Kama for 7 years upendo umeshindwa kujengeka, sidhani kama kujaribu zaidi itasaidia. Sasa hivi kwa anavoelezea inaonekana wanaishi kwa mazoea tu
Wapeane talaka, it's the most logical solution. Watu wanaweza wakapinga au kusema they should try harder, ila it's obvious there is nothing there. Watakuwa wanajilazimisha tu, and it won't be genuine. At most they'll just end up miserable if they aren't already
Hahahaha, nimechekaaaNiliwahi kuwa na uhusiano na binti fulani, akahama mkoa niliokuepo uhusiano ukafifia, nimekutana naye mwaka huu, sasa hivi ameolewa na ana watoto na wamerudi mkoa huu huu.
Lakini kilichopo kwenye ndoa yako mleta uzi ndiyo anachonihadithia mdada, akaniambia kwamba idadi nilizosex naye mimi katika uhusiano wetu wa mwaka 1 ni nyingi kushinda miaka 4 aliyoishi na jamaa.
Hakuna chemistry, hataki kusex na jamaa na hata wakisex haenjoy.
Tukaamua tukutane tukumbushie enzi. Kwa kawaida Hua ninaamini utakachomfanyia mwenzako na wewe baadaye kitakuhusu, lakini hayo yote nikasahau.
Juzi nimeingia JF nakuta mtu kapitishwa nondo kwenye kende ikafika hadi kifuani, hata sikusoma maelezo nikahisi huyu kafumaniwa.
Nikarudi kwa mwenzangu nikamuuliza upo sure na hiki kitu baada ya kujifikiria jana akaniambia haiwezekani yeye ni mke wa mtu, nikamwambia safi sasa tuendeleze urafiki.
Tatizo ni la ki saikolojia. Wewe na mwenza wako mngemuona mtu wa kuwafanyia counselingUna tatizo la kisaikolojia si bure, mume na mke kabisa miezi mitatu msipoongea poa tu. Basi hata yeye hafurahishwi na wewe.