Mwenyewe anajua??

kuna jambo mtu ukilifanya kama haliingii akilini mtu husema "acha utoto"
 
kuna jambo mtu ukilifanya kama haliingii akilini mtu husema "acha utoto"

Samahani kiongozi wangu....
Kwenye picha hizo mbili utoto ni upi hasa?
Lol..............................................................
 
kwenye picha zote mbili kuna utoto...
 
Utoto ni upi?NADHANI UTOTO NI (300=mia mbili),very good!
 
ngoja niangalie vizuri...naona kama tarakimu na maneno kuna mushkeli kidogo!!.....hebu ngoja nipate :coffee: halafu nirudie tena kusoma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…