Hivi Maria nyerere akiwa fl wa-tz walikuwa wamefunguja macho?ndo maisha yaho, first lady wa kiiafrika huwa lazima watanue, nayeye ndo kapata wacha ale kodi zetu siku tukifunguka macho vizuri tutapunguza matumizi yao maana first lady yeyote ni lazima kodi yetu imhudumie, suala linakuwa je matumizi yote anayofanya ni sawa?? je kumwekee limit ya bajeti yake au iwaendelee kula nchi kwa jinsi anavyojisikia yeye na wale wanaomzunguka.
Sipati picha kiingereza kilichokuwa kinazungumzwa pale, maana kiswahili chenyewe huwa kimepindapinda....
Hawa hutumia muda na gharama kubwa kujivisha kama wanapamba mti wa krimas. Wanasahau kupamba akili zao
FL nimemuona kwenye michuzi anajitahidi ila anasoma A to Z anaongea kama amepanic hivi sijui ndio audience ya wazungu.Mwalimu kamsaidia kuweza kusoma sijui sasa kile cha kupiga story za kawaida anaweza.[/QUOTE]
yes, me tanzania there, cool and peace of true, welcum again in our country in africa, we have manyara animals, serengeti,
and big tens animal parks. welcum and plant mount kilimanjaro, the tallest in africa.in our country last year hungry
intered there, even me i felt femine
Ningependa mwanajamii mmoja mwanadada anijuze mwenzenu kama uwepo wa nafasi hiyo "UENYEKITI" wa akinamama una maslahi na wanawake,Na pia aeleze kama amenufaika na Mama Salma kuwa mwenyekiti..tafadhali nisaidiwe kabla sijachangia chochote.
Sipati picha kiingereza kilichokuwa kinazungumzwa pale, maana kiswahili chenyewe huwa kimepindapinda....
Hacheni kuwa kama malmbukeni, someni magazeti muongeze knowledge na sio kusoma mwanaspoti na uwazi tu.
Huyu mama ni m/kiti wa WAMA ambayo ni NGO yake yeye kama 1st lady na sio wanawake wote, ya Mama Mkapa iliitwa Mfuko sawa kwa wote. Na kama umefuatilia hii safari kachangishiwa shs 45 billion, lakini watz reasoning yenu ilivyo potofu mnacrush kila kitu.