GE2025 Mwenyekiti wa Uvccm Mkoa wa Geita na Mtia nia wa Ubunge jimbo la Geita mjini Manjale Magambo adaiwa kutekwa

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

100 others

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2017
Posts
8,733
Reaction score
30,457


Mwenyekiti wa Uvccm Mkoa wa Geita na Mtia nia wa Ubunge jimbo la Geita mjini Manjale Magambo Ametekwa jana 24 October 2025 saa tatu Nyumbani kwake maeneo ya Bombambili.

Simu yake ilituma Masseji za maandamano kwa watu zaidi ya 2000 inasemekana alifanyiwa figisu kwenye ubunge sasa analipa kisasi.

Pia soma: PreGE2025 - Mwenyekiti wa UVCCM Geita Manjale Gambo achukua fomu nafasi ya Ubunge Geita Mjini

Your browser is not able to display this video.


Hiyo Gari iliyomteka inaplate namba ya Toyota Vanguard lakini gari ni Toyota Hillux ambayo inasoma jina la Brian Paul Bayo yenye number ya 0710909491 mmiliki wa gari ni wa Arusha.
 
Kuhamasisha maanadamano kwa kutumia namba yako inayojulikana ni hatari maana kati ya hao unaowatumia kuna MESENARIES aka Mapandikizi aka MASNICHI ambao wanaenda kukuchoma kwa KK-Kikosi Kazi then wanapita na wewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…