PreGE2025 Mwenyekiti wa UVCCM Geita Manjale Gambo achukua fomu nafasi ya Ubunge Geita Mjini

PreGE2025 Mwenyekiti wa UVCCM Geita Manjale Gambo achukua fomu nafasi ya Ubunge Geita Mjini

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

DuaZaMama

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2025
Posts
1,882
Reaction score
4,129
Aliyekuwa Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM), Manjale Magambo amechukua fomu kuomba uteuzi wa kuwania ubunge katika Jimbo la Geita Mjini.

Magambo amekabidhiwa fomu hiyo Juni 28,2025 na Katibu wa CCM Wilaya ya Geita, Michael Msuya.
1751183618083.png
 
Mwenyekiti wa UVCCM Geita ,Manjale Magambo mtia nia wa nafasi ya ubunge katika jimbo la Geita mjini leo Juni 28 amechukua fomu kuwania nafasi hiyo.

Katibu wa chama cha Mapinduzi wilaya ya Geita Michael Msuya, amesema kuwa dirisha la uchukuaji wa fomu za ubunge na udiwani limefunguliwa rasmi leo tarehe 28 hadi tarehe 1 kuanzia saa mbili asubuhi mpaka saa 10 jioni.

Amewasihi watia nia kufata maelekezo ya chama kutoleta mbwembwe wakati wa uchukuaji wa fomu hizo ili kuondoa vurugu ambazo hazina msingi.


manjale.png
 
Back
Top Bottom