Mwenyekiti wa Umoja wa Africa (A.U)

Mwenyekiti wa Umoja wa Africa (A.U)

Blog

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2013
Posts
320
Reaction score
129
ImageUploadedByJamiiForums1423079487.741331.jpg
ImageUploadedByJamiiForums1423079503.634812.jpg

Nafikiri imefikia kipindi mzee wetu akapumzika na kuachia kijiti.
 
Mzee yuko fiti ... the only African Leader mwenye uwezo wa kuwakemea Wazungu!!! Huku kwetu JK anasia Utawala wa Kikoloni ...
 
dah! Au kapeti lilikunjwa kidizain flani kama hujuma?
 
Mzee yuko fiti ... the only African Leader mwenye uwezo wa kuwakemea Wazungu!!! Huku kwetu JK anasia Utawala wa Kikoloni ...

Mpini uliobaki Africa ndio huo tu hao wengine puppet leader

mbona hata wewe hapo unaweza kuteleza na kuanguka...ina maana umezeeka!

Ni kweli mkuu lakini ye kazeeka hadi mwili
 
Inuka my papaa, aluta continyua.
Ukiondoka Africa itakukumbuka.
 
Kupenda kubaya hata mzee ataitwa kijana ili mradi apewe sifa tu
 
Aliwahi kuwanyamazisha BBC pale walipo muambia ati amezeeka aachie ngazi! aliwauliza Malkia ana miaka mingapi? mbona haja staafu umalkia? ...
Mpini uliobaki Africa ndio huo tu hao wengine puppet leader

Ni kweli mkuu lakini ye kazeeka hadi mwili
 
Hiyo ni feki na physically yuko fiti. Mugabe yuko strong interms of decisions kuliko JK kijna. Ni msomi na degree za class c za kupachikwa na kujiita Dr. Ni kiboko ya wazungu.
 
The freedom fighters never die, and if they die, their names live.
 
Hiyo ni feki na physically yuko fiti. Mugabe yuko strong interms of decisions kuliko JK kijna. Ni msomi na degree za class c za kupachikwa na kujiita Dr. Ni kiboko ya wazungu.

Feki wapi wakati kadondoka kweli
 
Body guard hana kazi! Ni wakumfire.
 
Back
Top Bottom