Mwenyekiti wa MNEC kushiriki tuongee asubuhi Star TV kesho

Egnecious

JF-Expert Member
Jul 8, 2015
875
960
TAARIFA!!!!
Mwenyekiti wa Shirikisho Taifa (Mnec), Bi Zainab Abdallah; anatarajia kushiriki kwenye kipindi cha Tuongee Asubuhi na Star TV mapema kesho asubuhi ambapo watazungumzia muelekeo wa siasa nchini Tanzania. Pamoja nae kutakuwa na wawakilishi wa vyama vingine vya upinzani.
Wanachama na makada wetu msikose kuangalia kipindi hiki.

Imetolewa na:
Idara ya siasa na uenezi,
Shirikisho Taifa.
 
Naona umeandika kama unafukuzwa,hilo ni Shirikisho gani, au maandalizi ya kujenga sanamu ya Diamond
 
Back
Top Bottom