Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,014
- 9,883
Nipe pole Sana mhusika. Nashauri huyu Dada apelekwe kwa wataalam WA uzazi waangalie vizurimasaibu aliyoipata
2.mwenyekiti huyo nimesikia amekomesha uvunjifu wa Amani toka alipochaguliwa hivyo wasiompenda Wana tumia mwanya huo.
3.kwa kuwa vyombo vya usalama vipo tuvipe muda hatimaye sheria itachukua mkondo wake.
4.taarifa hizi zimekwenda karibu vyombo vyote vya habari vilivyoko kilimanjaro Arusha n.k.
Umeandika kijingaaa sana na kujaribu kutengeneza mazingira ya KiCCM CCM.Nipe pole Sana mhusika. Nashauri huyu Dada apelekwe kwa wataalam WA uzazi waangalie vizurimasaibu aliyoipata
2.mwenyekiti huyo nimesikia amekomesha uvunjifu wa Amani toka alipochaguliwa hivyo wasiompenda Wana tumia mwanya huo.
3.kwa kuwa vyombo vya usalama vipo tuvipe muda hatimaye sheria itachukua mkondo wake.
4.taarifa hizi zimekwenda karibu vyombo vyote vya habari vilivyoko kilimanjaro Arusha n.k.
Kwakua amesema imetokaHiyo mimba ya miezi miwili nani alihakiki kuwa imo na ina miezi miwili? Tuanzie hapo kwanza
Mwenyekiti hakuzaliwa na mwanamkeMwenyekiti huyo, Wilfredy Minja kwa sasa anashikiliwa na Jeshi la Polisi mkoani humo, kwa tuhuma ya kumsababishia Asha mateso na kupoteza ujauzito.
Bangi mnazovuta Lumumba ni kali sana kupita cannabis sativa .ipimwe kwanza na hicho kipimo kithibitishe kuwa ilitoka kwa kuruka chura haikutoka yenyewe au hakuitoa
Unaona sasa, hizi ndo akili za CCMipimwe kwanza na hicho kipimo kithibitishe kuwa ilitoka kwa kuruka chura haikutoka yenyewe au hakuitoa