GE2025 Mwenyekiti wa INEC: Hakuna Sheria inayoruhusu Kura za mapema kupigwa

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
4,393
Reaction score
14,500
Tume ya Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) imesema hakuna sheria inayoruhusu kura za mapema kupigwa kwa upande wa Tanzania bara katika uchaguzi mkuu utakaofanyika Oktoba 29 mwaka huu.

Kura hiyo ni ile ambayo itapigwa Zanzibar na baadhi ya watu, ambazo siku ya uchaguzi watakuwa na majukumu ya kusimamia uchaguzi mkuu huo.

Kauli hiyo meelezwa na Mwenyekiti wa INEC Jaji Mstaafu wa Mahakama ya Rufaa Jackobs Mwambegele, wakati akizungumza na Wahariri wa vyombo vya Habari Jijini Dar es Salaam.

Amesema Zanzibar ilipitisha sheria ya kuruhusu upigwaji huo wa kura.

Mbali ya Hilo Jaji Mwambegele amesema raia wa Tanzania wanaoishi nje ya nchi hawataweza kupigakura kutokana na sheria kutaka zoezi kufanyika hapahapa nchini.

Tume huru ya taifa ya uchaguzi (INEC) inaendelea kukutana na makundi mbalimbali kuelezea maandalizi ya uchaguzi mkuu yalipofikia.

takataka
 
Huyu jamaa hana akili timamu. Mishipa ya aibu imeshakatika, mjinga kweli huyu punda. Wapiga kura 37.5 Mil, wametoka wapi wote hao? Nchi yetu ina watu Mil. 64, watoto chini ya miaka 15 ambao hawaruhusiwi kujiandikisha au kupiga kura ni Mil. 31 ukijumlisha unapata jumla ya watu Mil. 68.5 hata tukisema kila mtu amejiandikisha.......tunapata extra 3.5 Mil. hawa wameazimwa wapi? Haiwezekani kila mtu amejiandikisha!!!!! Family yangu ya watu 20 hakuna hata mmoja wetu amejiandikisha. Hao wengine wametoka wapi? Hii tume ni watu wa CCM walioanza kuiba kura kabla hazijapigwa. Acheni wizi ninyi CCM.
 
Wameanza mambo ya mwaka 2020. Nashangaa ACT ya Zanzibar inapiga porojo za kulinda kura.
 
Back
Top Bottom