Mwenyekiti wa CUF Julius Mtatiro, akutana uso kwa uso na Paul Makonda

Hahahaha.... Wapinzani kuyaishi maneno yao ni ngumu sana!
 
Mtatiro nae anajishusha sana hapo maana maneno yake yote huyo ndugu haelewi na akichanganya na wazungu ndo basi tena
 
msomi vs kilaza.hapo lazima kuna mmoja alikuwa chini ya kiwango cha confidence sema tu vile madaraka ya kulevya yalimbeba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…