Mwenyekiti wa chama cha Wafanyakazi na wewe ulihusika kwenye kutunga sheria ya mafao?

Nukta5

JF-Expert Member
Jun 7, 2014
1,125
2,000
Toka nimefahamu kuhusu hili swala la mafao kila siku najiuliza maswali hata sipati majibu yak. Hivi walikua sehemu gani wamekaa huku wanapanga, walikua wanamfikiria nani atakaekuja kukutana na hiki kikombe,hawakuweza hata kuwauliza ndugu zao kwamba hichi kitu kinafaa kukipeleka kwenye jamii?
Hiv hawa wabunge wa ndiooooo huwa hawakai wakafikiria hata ndugu zao me sijaona mabadiliko yoyote mazuri kwenye hiyo sheria mpya zaidi ya fao la kukosa ajira ambao ni upuuzi mtupu bora ile ya zamani ingeachwa na kuboreshwa baadhi ya vipengele na kusimamia.ipasavyo.
20181121_174122.jpg
 

Bradha

JF-Expert Member
Dec 18, 2017
8,651
2,000
Halafu wanaotutungia hizi sheria wao wanachukua mafao yao yote kwa mkupuo...
 

Mnasihi

JF-Expert Member
Oct 9, 2013
6,365
2,000
Ngoja nimuite katibu wa tucta hapa, " dr. Msigwaaaaaaaa, wuse beh, wakukemela bahah! Au umeamua kufanana nao na kuwasaliti wale manesi na madaktari wenzako?
Nina uhakika kuwa yule waziri hawapendi kabisa wazee na sijui walimkosea nini huko peramiho!
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom