Mwenyekiti wa Chadema Arusha Akutana na Viongozi wa Dini, Washanga Mwenendo wa Kesi ya Lema

Mwanahabari Huru

JF-Expert Member
Mar 9, 2015
14,243
34,899
Katibu wa kanda ya kaskazini na Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Arusha Mhe.Amani Golugwa,leo amekutana na viongozi wa Mkoa wa dini ya kiislamu katika ofisi za Chadema zilizopo Ngarenaro.

Katika kikao hicho pamoja na mambo mengi viongozi hao wa dini walionyesha kusikitishwa kwao na mwenendo wa kesi kwa jinsi ambavyo Mbunge wa Arusha mjini mhe Gobless Lema amekuwa akinyimwa haki ya dhamana kwa shauri lake lililopo Mahakamani.
 
Attachments

  • IMG-20161210-WA0062.jpg
    IMG-20161210-WA0062.jpg
    44.3 KB · Views: 41
  • IMG-20161210-WA0059.jpg
    IMG-20161210-WA0059.jpg
    81.2 KB · Views: 38
Katibu wa kanda ya kaskazini na Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Arusha Mhe.Amani Golugwa,leo amekutana na viongozi wa Mkoa wa dini ya kiislamu katika ofisi za Chadema zilizopo Ngarenaro.

Katika kikao hicho pamoja na mambo mengi viongozi hao wa dini walionyesha kusikitishwa kwao na mwenendo wa kesi kwa jinsi ambavyo Mbunge wa Arusha mjini mhe Gobless Lema amekuwa akinyimwa haki ya dhamana kwa shauri lake lililopo Mahakamani.
Waambie hao viongozi wa dini kuwa wanahitaji kuongea na wanasheria...tena mahiri
 
Watashangaa sana, waliosema 'Serikali ina mkono mrefu' hawakukosea.
 
Huyu mashinji akianza kufikiria kwa kutumia **¥€¥%##!! atapotea fasta zaidi kwenye ulingo, hivi kweli hajui mawakili wao hawajui kutafsiri sheria na kanuni?? Au anashangaa mwenendo gani?
Mashinji ametoka wapi katika hii habari?
Tuliza akili wewe.
 
Mhe Amani pamoja na viongozi wetu ya kiislamu hili pekee ndio munaona mujitokeze Luna masheikh ndani mwaka was tatu mbona kimya.Au munajikomba kwao¿?????
 
Back
Top Bottom