Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Gairo amwagiwa Tindikali

Watu wanakugongea usiku kama huwajui unafubguake dirisha ili kuongea nao?!
Mnachezeana michezo ya kipuuzi wenyewe kwa wenyewe.

Sasa huyu nae atakuwa kinyago cha Mwigulu au Kinana?
yaani sasahivi ikitokea kuna kata iko wazi, watazunguka nae mpaka akome...
 
Mwenyekiti wa CCM Wilaya mpya ya Gairo Bwana Omary Awadhi, amemwagiwa tindikali usiku wa kuamkia leo nyumbani kwake Gairo. Kwa mujibu wa mwenyekiti huyo tukio hilo lilitokea usiku wa manane baada ya watu wasiojulikana kumgongea na kumwamsha.

Hata hivyo anasema aligoma kufungua mlango bali alifungua kioo cha dirisha la chumbani kwake. Watu hao walimuonya kutohudhuria kikao ambacho yeye ni mhusika alipokataa, ndipo ghafla akahisi kumwagiwa kitu usoni kilichomletea maumivu makali sana.

Aliwahi kunawa maji lakini hali bado ni tete.Muda huu yupo safarini anakimbizwa Dar kwa matibabu zaidi baada ya uso wake kuharibika.

GAIRO

---------------------------------------
​Hivi bado mna akiba ya kutosha kwa ajili ya kuwadhibiti wenzenu!
 
Kitendo cha lwakatare kuwa nje ni tatizo kubwa.
serikali ya CCM imebinafsisha karibu vitega uchumi vyetu vyote kinachonisikitisha ni CCM kuamua kubinafsisha Akili yako pia na ndo maana CCM wanaitumia watakavyo na moja ya matumizi yake ni hiki ulichokiandika kwani ukuandika kwa matakwa yako bali kwa hao uliowabinafsishia hiyo akili yako.
 
kama hiyo taarifa ni kweli,naomba niseme-taifa letu haliwahitaji viongozi maslahi..tunawataka viongozi wenye utashi wa kisiasa,wenye hekima,wenye upendo.wenye njozi nk
 
Mwenyekiti wa CCM Wilaya mpya ya Gairo Bwana Omary Awadhi, amemwagiwa tindikali usiku wa kuamkia leo nyumbani kwake Gairo. Kwa mujibu wa mwenyekiti huyo tukio hilo lilitokea usiku wa manane baada ya watu wasiojulikana kumgongea na kumwamsha.

Hata hivyo anasema aligoma kufungua mlango bali alifungua kioo cha dirisha la chumbani kwake. Watu hao walimuonya kutohudhuria kikao ambacho yeye ni mhusika alipokataa, ndipo ghafla akahisi kumwagiwa kitu usoni kilichomletea maumivu makali sana.

Aliwahi kunawa maji lakini hali bado ni tete.Muda huu yupo safarini anakimbizwa Dar kwa matibabu zaidi baada ya uso wake kuharibika.

GAIRO

---------------------------------------

Mwezi wa saba{6/7/2013, tumefika lini? Naona umelemewa na uongo kweli
 
Mwezi wa saba{6/7/2013, tumefika lini? Naona umelemewa na uongo kweli

Ujinga na Up.mba.v kama wa Pind.a nao ni fani... Ngoja nikuelimishe, Kikao alichokatazwa mwenyekt asihudhurie ni cha tarehe hiyo ambayo ni wiki ijayo. Umeelewa
 
Wana ccm na wengine wote wenye mapenzi mema tuzindi kumuombea ili aweze kupona:

Sijakuelewa unaposema wenye mapenzi mema au una maanisha yule kada wenu wa sisihemu anaewafanya wake za wenzie?kama ndo ivyo muendelee na mapenzi ayo yaliyotukuka adi kufika kwenye kumwagiana tindikali kwa udhalimu wa sisihemu nashukuru kwa jambo lilompata mmojawapo wa kundi lenu la majambazi.Na sasa aaaaamen!
 
hivi chadema mnaipeleka wapi nchi?? kwann hamuachi kula nyama za watu???

Namshukuru mungu kwa liliotokea.Ila mchangiaji cjui uko wapi kwani unaonekana una tatizo la ubongo linalosababishwa na minyoo kwa taarifa yako wilaya ya k.ndoni inatoa chanjo za minyoo ambayo huathiri pia ubongo kwa watoto kuanzia miaka 5 hadi kigagulo kama wewe tafadhali funguka.kama unaweza hudhuria upate tiba ambayo ni ukombozi wa ubongo wako!
 
kwahiyo Chadema mmejihalalishia staili ya tindikali kwa kwenda mbele

unaniuzi wewe binti, mbona hatukuwafundisha hapa sjut kuwa makuwadi na kukosa kujiamini kwenye maisha namna hiyo,tabia ya kuganga njaa haitawasaidia.mmeshaambiwa hakuna viti maalumu tena na kama ajira tafuteni kwa kuamini katika maarifa na ujuzi mliopewa na si kwa kujipendekeza nyinyiem.halafu nyinyi mabinti ndio maana mnaishia..........Toa hoja na jenga hoja na si mizaha
 
Jamani mficha ugonjwa mauti humuumbua,mnatoa siri za hila!?hamjui kama mnazidi kuwarahisishia polisi upelelezi wa nani ni magaidi.imefikia wakati vita inapigea ya wenyewe kwa wenyewe!!!!?looo...
 
Back
Top Bottom