Mwenyekiti wa CCM, Rais Dkt Magufuli akutana na viongozi wa CCM leo

Emc2

JF-Expert Member
Sep 26, 2011
16,808
16,873
ccm1.jpg
ccm3.jpg

Chanzo: Michuzi
 
Hapo ni mwenyekiti wa chama na siyo Rais hata kama katembelewa kwenye nyumba rasmi ya Rais. Andika tu kwamba Mwenyekiti wa CCM Taifa akutana na viongozi wenzake wa CCM.Rais ni wa watanzania wote na si wana CCM pekee!
Huwezi ukaukimbia ukweli. Popote alipo ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Kama inakuuma kula malimao utapona utumbo wako.
 
Urais ni cheo na wala si mtu. Kwa ivo hata akiwa kwa mkewe anachukuliwa kama mume ama kama Rais?
Utaumia sana. Yaani baada ya kuapishwa popote alipo ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Au hujui katiba ya Tanzania.
Acha kukomaa na mambo ya kitoto. Wewe umeshakuwa mtu mzima. Sihitaji nguvu nyingi kukuelimisha. Najua unataka kuleta ubishani wa kitoto hapa.
Popote alipo yeye ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Na anahusika na mambo matatu
1. Yeye ni Mkuu wa nchi
2. Yeye ni kiongozi wa Serikali
3. Yeye ni amiri jeshi mkuu.
Yote hayo matatu yamebebwa na jina moja yaani "Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania"

Akiwa mkuu wa nchi yeye ndiye top.
Kwahiyo chukua elimu hiyo kama unataka maelezo zaidi nipo tayari kukufundisha.
 
Mleta mada ukapimwe akili

Usitake kulazimisha watu waamini kile unaamini, ni ujinga
Kwikwikwikwi. Wewe akili zako timamu!!? Au umepima!!? Nani kakulazimisha? Kama hutaki acha. Hakuna kubembelezana hapa. Hapa ni Kazi tu. Kama hutaki tembea mbele sisi tupishe.
 
Akiwa mkuu wa nchi yeye ndiye top.
Kwahiyo chukua elimu hiyo kama unataka maelezo zaidi nipo tayari kukufundisha.
Maelezo meeengi lakini hajabena uzito wa hoja. Alikutana nao kama Rais ama kama mwenyekiti wa chama chao? Magufuli akifika kwa Daktari anachukuliwa kama mgonjwa na wala si kama Rais. Vyeo vina mahala na nafasi zake.
 
Huwezi ukaukimbia ukweli. Popote alipo ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Kama inakuuma kula malimao utapona utumbo wako.

Kwa ufahamu wa kiwango hiki, JF imevamiwa! No wonder watu wengi wanaacha kuandika. Unaanzia wapi kushare ideas na mtu wa kiwango hiki? Unamwelimisha kwa kuanzi a level gani kwanza hajitambui kama hajui?
 
Kwikwikwikwi. Ukiniita punguani wewe utakuwa nani!? Usilazimishe mambo ya kishamba. Peleka ushamba wako kwingine siyo kwetu. Kwikwikwikwi. Tupishe sisi mzembe wewe!!
Kwikwikwi ndo nini km si ukhathi?

Afhari yqngu mshamba wa mambo kuliko wewe mgonjwq wa akili
 
Kwikwikwikwi. Wewe akili zako timamu!!? Au umepima!!? Nani kakulazimisha? Kama hutaki acha. Hakuna kubembelezana hapa. Hapa ni Kazi tu. Kama hutaki tembea mbele sisi tupishe.
Kumbe wewe lofa, takataka tupu! Nilidhani una hoja kumbe UCCM, nonsense
 
Kwikwikwi ndo nini km si ukhathi?

Afhari yqngu mshamba wa mambo kuliko wewe mgonjwq wa akili
Kwikwikwikwi!! Wewe umepima upo salama kwenye kichwa chako!!? Mzembe wewe kimbia kule achana na sisi wachapa kazi. Utakula uzembe wako.
Soma mithali 6:6
Mwendee chungu, ewe mvivu; zitazame njia zake upate kuwa na hekima.
 
Ujinga umekujaaa,

Na ukada umekutamalaki

All in all

Huna akili, zombie
 
Hivi vyeo ulivyovitaja ni vya ki-CCM?
Kwikwikwikwi. Huyo ndiye Rais wako hata kama hutaki. Dkt Magufuli ni rais wa Tanzania popote atakapokuwa.
Kama hutaki nenda mahakamani usituchoshe sisi.
Mithali 1:22
“Ninyi msio na uzoefu mtaendelea mpaka wakati gani kupenda kutokuwa na ujuzi?+ Nanyi wenye dhihaka mtaendelea mpaka wakati gani kujitakia dhihaka tupu?+ Nanyi wajinga mtaendelea mpaka wakati gani kuchukia ujuzi?
 
Hili swali halikuwahi kujibiwa humu ndani. "Polepole ni mzee au kijana?".Naomba lijibiwe tafadhali
 
Back
Top Bottom