Mwenyekiti wa CCM Akutana na Rais Magufuli Ikulu leo

Kibo10

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
11,277
8,856
Leo rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli amekutana na kufanya mazungumzo na rais mstaafu wa awamu ya nne Dkt Jakaya Mrisho Kikwete Ikulu jijini Dar es Salaam.

Huu ni mwendelezo wa JK kwenda ikulu kukutana na Rais toka kustahafu na kukabithi madaraka kwa Magufuli.
 
Hali ni tete!
 
Hahaha dhambi yakusaliti nihatari sana
 
Leo rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli amekutana na kufanya mazungumzo na rais mstaafu wa awamu ya nne Dkt Jakaya Mrisho Kikwete Ikulu jijini Dar es Salaam.
Huu ni mwendelezo wa JK kwenda ikulu kukutana na Rais toka kustahafu na kukabithi madaraka kwa Magufuli.
JK hatulii kabisa msoga,sijui kuna nini.Nadhani miaka 10 tuu ya utawala tutakua na marais wastaafu wengi sana mitaani
 
Safari ya pili ndani ya miezi mitatu. Si angejiunga na kifurushi akampigia simu tu? Haya ni matumizi mabaya ya mafuta ya gari (kodi zetu).

Usikute pia alisindikizwa kwa ving'ora na watu wakawekwa kwenye foleni kwa muda mrefu.
 
Kuna mahali kaguswa au ananyemelewa huyu JK, kawahi kuweka mambo sawa yasije tolewa hadharani.
 
Back
Top Bottom