Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 2,437
- 5,235
Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimetajwa kuiogopa CHADEMA kuelekea uchaguzi mkuu wa mwaka 2025 kutokana na mazingira ya kukibana chama hicho kikuu cha upinzani huku vyama vingine vya upinzani vikionekana kuimarika, kikiwemo ACT Wazalendo na CHAUMMA.
Kauli hiyo imetolewa na Mwenyekiti wa Baraza la Wazee wa CHADEMA (BAZECHA) mkoa wa Mbeya, John David Mwambigija maarufu kama Mzee wa Upako, alipokuwa akizungumza mkoani Mbeya.
Kauli hiyo imetolewa na Mwenyekiti wa Baraza la Wazee wa CHADEMA (BAZECHA) mkoa wa Mbeya, John David Mwambigija maarufu kama Mzee wa Upako, alipokuwa akizungumza mkoani Mbeya.