Mwenyekiti wa Baraza la Chuo

Mwenyekiti wa Baraza la Chuo

Davan

JF-Expert Member
Joined
Jun 15, 2020
Posts
1,125
Reaction score
1,415
Nini hasa majukumu ya baraza la chuo?
Je, nafasi hii ina mshahara na posho au posho zake hadi vikao vya bodi?
Je, hii inaweza kuwa demotion au promotion?
 
Nini hasa majukumu ya baraza la chuo?
Je, nafasi hii ina mshahara na posho au posho zake hadi vikao vya bodi?
Je, hii inaweza kuwa demotion au promotion?
Mkuu inategemea chuo chenyewe.
Hapa Tanga Kuna vyuo vikuu Kama ZAH RAU UNIVERSITY .
Kwenye chuo Kama hichi wale masheikh waliobobea katika ilm hujitolea kwenye Baraza au University council.
 
Back
Top Bottom