Wont be the same
JF-Expert Member
- Aug 15, 2024
- 1,564
- 2,483
Mwenyekiti wa ACT Wazalendo ambaye pia ni Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Ndugu Othman Masoud Othman amesema amesikitishwa na kauli za baadhi ya Wabunge dhidi ya wanaharakati kutoka Kenya na Uganda kuhamasisha matumizi ya nguvu za dola dhidi yao.
Akitolea mfano wa Mbunge wa Pandani Ndugu Maryam Omar Said aliyesema Mwanasiasa wa Kenya alipaswa kupigwa sana, Ndugu Othman Masoud amesema Mbunge huyo hakuchaguliwa na wanachi, alitangazwa akiwa kapata kura 36 wakati mshindi halisi wa ACT Wazalendo alipata kura zaidi ya 5000 hivyo hana uchungu na wananchi ndio maana anaongea maneno ya yasiyofaa.