PreGE2025 Mwenyekiti UWT Mkoa wa Geita atoa Printa kwa shule ya sekondari Nyang'hwale

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
4,393
Reaction score
14,499
Imeelezwa kuwa Shule ya Sekondari Nyang’hwale iliyopo wilayani humo inakabiliwa na changamoto mbalimbali ikiwemo Uchakavu wa Majengo , Upungufu wa walimu pamoja na Upungufu wa vifaa vya kutumia ikiwemo Photocopy Machine pamoja na Kompyuta.

Hayo yameelezwa na Mkuu wa shule ya Sekondari Nyang’hwale Mwl. Zabron Selemani wakati akisoma risala kwa Mgeni rasmi katika Mahafali ya kwanza ya kidato cha sita ambapo ameomba kufanikisha uhitaji huo kwenye shule sambamba na kufanikisha upatikanaji wa maji ambapo eneo hilo maji yamekuwa ni ya kusua sua.

Soma, Pia: UWT Lindi wamshukuru Rais Samia kwa ujenzi wa Shule ya TSh. Bilioni 4.1

Kwa upande wake Mjumbe wa Halmashauri kuu ya Chama cha Mapinduzi CCM Mkoa wa Geita na Mwenyekiti wa Jumuiya ya wazazi wanawake (UWT) Mkoa wa Geita Bi. Laulencia Bukwimba amewataka vijana wanaotarajia kuhitimu Kidato cha sita kuachana na Mambo yasiyo faa badala yake wawekeze katika Elimu.

Shule zimechoka huku RC/DC wameletewa magari mapya kila mmoja gari la milioni mia 6. Hovyo kabisa
 
Haa Sasa CCM Njoo Tu Na Hii Kauli Tujue Moja
Kutoa Ni Moyo
 
Kwani mbunge anakusanya mapato? hilo eneo RC/RAS/DC/DAS/DED/Mwenyekiti wa council kazi yao nini?
Mkuu mimi Nimeona hilo jina la jimbo letu nikamkubuka mbunge wetu na nimeshamletea uzi humu hatufai

SOMA HAPA

Ni kweli hata mchango wa tonetone Lisu hajachangia hata mia
Tunakosea sana kudhani kuchangia ni mpaka pesa... ndio maana tupo hapa tulipo, mfano huyu anaweza akatoa michango ya pesa au hata hio printer kumbe, anakula tu pesa ya jamii na kuchangia makombo wakati mwingine anaweza kujitoa maradufu...

Mfano ni wenyenchi wanaotoa Ruzuku kila siku (kodi zao) kwa hivi vyama vya wasanii na kuwa shortchanged
 
Imeelezwa kuwa Shule ya Sekondari Nyang’hwale iliyopo wilayani humo inakabiliwa na changamoto mbalimbali ikiwemo Uchakavu wa Majengo , Upungufu wa walimu pamoja na Upungufu wa vifaa vya kutumia ikiwemo Photocopy Machine pamoja na Kompyuta.

Hayo yameelezwa na Mkuu wa shule ya Sekondari Nyang’hwale Mwl. Zabron Selemani wakati akisoma risala kwa Mgeni rasmi katika Mahafali ya kwanza ya kidato cha sita ambapo ameomba kufanikisha uhitaji huo kwenye shule sambamba na kufanikisha upatikanaji wa maji ambapo eneo hilo maji yamekuwa ni ya kusua sua.

Soma, Pia: UWT Lindi wamshukuru Rais Samia kwa ujenzi wa Shule ya TSh. Bilioni 4.1

Kwa upande wake Mjumbe wa Halmashauri kuu ya Chama cha Mapinduzi CCM Mkoa wa Geita na Mwenyekiti wa Jumuiya ya wazazi wanawake (UWT) Mkoa wa Geita Bi. Laulencia Bukwimba amewataka vijana wanaotarajia kuhitimu Kidato cha sita kuachana na Mambo yasiyo faa badala yake wawekeze katika Elimu.

What is printer? Nayo ni story? Masikini Tanzania inawajinga wengi kiasi hiki kumbe
 
Back
Top Bottom