Mwenyekiti wa UVCCM wilaya ya Handeni Mkoa wa Tanga Ndg. Shabani Lugendo amewataka vijana wote wa UVCCM Wilaya ya Handeni kuhakikisha wana vunja makundi ya kiuchaguzi ndani ya Chama na kuwaomba wasubiri jina la mgombea atakaye pendekwzwa na Chama
Ameyasema hayo leo baada ya kufanya kikao cha kamati ya utekelezaji Wilaya ya Handeni kilicho kuwa na ajenda za kujadili namna ya kukisaidia Chama kupata kura za kishondo ifikapo october 29 mwaka hu
Chanzo: Manara TV
Ameyasema hayo leo baada ya kufanya kikao cha kamati ya utekelezaji Wilaya ya Handeni kilicho kuwa na ajenda za kujadili namna ya kukisaidia Chama kupata kura za kishondo ifikapo october 29 mwaka hu