Mwenyekiti UVCCM Rombo atangaza kumuunga mkono Lowassa na kujitoa CCM

Nawewe unataka bwana mwenyekiti uvccm urambo.ndo nani?? Huyo c nyau tuuu...... maku weeeee...
 
Anhaaaa Beatrice Conrad Shirima! Pamoja na kua alikua gamba but yuko vzr sana huyu mrombo
 
hongera kwa kutambua kuwa sasa CHADEMA ndio mkombozi wa tz, na kuamua kujitoa katika chama cha magamba.
 
Poa xna Ccm imepoteza network hadi sasa magufuli kila kona anatembea na wasanii kama 11 kuitaa watu wajee mahana Ccm awanaa jipya mm najiuliza hii ni fiesta au kampeni jamani chech mkutano Wa Ccm tanga Jana tare 8 utacheka@ alafu chech wazee Wa Kazi ukawa na president lowassa ni shidaaaaaa Hapa lowassa ukawa mpango mzima people
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom