Mwenyekiti UVCCM Rombo atangaza kumuunga mkono Lowassa na kujitoa CCM

Kitombise

JF-Expert Member
Joined
Sep 24, 2013
Messages
6,900
Points
2,000

Kitombise

JF-Expert Member
Joined Sep 24, 2013
6,900 2,000
kimwil yuko ccm, kiroho yuko UKAWA.
alaf hawa wa namna hii wako weng ccm na wanakitafuna chama ndan kwa ndan.
karibu ukawa kwenye ukomboz wa dhati
 

SHIMBA YA BUYENZE

JF-Expert Member
Joined
Dec 22, 2014
Messages
117,877
Points
2,000

SHIMBA YA BUYENZE

JF-Expert Member
Joined Dec 22, 2014
117,877 2,000
natamani nikupe tusi ambalo utalia wiki nzima una bahati naogopa sheria ya mtandao.
God...Calm down! Nakupa rukhsa. Rusha hilo tusi na naku-promise kuwa sitakushtaki wala kukuripoti TCRA...

Kama unaogopa kutukanwa mtandaoni tena na mtu anayejiita God, may be inakubidi u log off kabisa kwani you are weak psychologically. Internet is not for sissies isn't it? Umenifurahisha sana!
 

47pro

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2015
Messages
1,205
Points
1,250

47pro

JF-Expert Member
Joined Aug 3, 2015
1,205 1,250
Wacha akajifiche kwenye magwanda, chadema /Ukawa nyie ndo mafisadi wakubwa nchi haimfai lowasa, urais ukawa mtausikia kwenye radio.
 

KILIVITE

JF-Expert Member
Joined
Feb 14, 2013
Messages
1,304
Points
1,250

KILIVITE

JF-Expert Member
Joined Feb 14, 2013
1,304 1,250
TAFAKARI YA KAMPENI ZA CCM KUELEKEA OKTOBA 25, 2015.Kampeni za Chama Cha Mapinduzi zimegubikwa na taharuki katika mambo yafuatayo
1.Mgombea wa Urais amekuwa akiwaponda vibaya watangulizi wake kama JK,AHM,BWM na Kwa sana JMK,kwa kueleza mapungufu makubwa ya umaskini,huduma mbovu za afya,barabara,maji,elimu,Rushwa,Bei ndogo za mazao na kukopwa mazao yao,migogoro ya ardhi,ujangili,migogoro ya wakulima na wafugaji,pembejeo kukosekana,uwajibikaji sifuri,uzembe kazini n.k
2. Mara kwa mara wanapowauliza hadhira ni nani Rais wa Tanzania 2015, wananchi wamekuwa wakijibu ni Lowassa,
3. Katika mikutano yao wamekuwa wakiwapanga wana CCM wenye sare mbele kabisa ili kuepuka camera kuchukuwa watu wasiojibu na kupunga mikono na hata kucheza cheza,
4. Mabasi na malori yamekuwa busy yakisomba wananchi wa sehemu mbalimbali kujaza mikutano ambayo imekosa watu ili kupata taswira nzuri kwa ajili ya magazeti na TV,Uhalisia ni kupotea kwa mvuto chanya wa CCM kutokana na kupoteza mwelekeo.
5. Wanakampeni wamekuwa wakitumia muda mwingi kuuponda UKAWA na LOWASSA kuliko kuelezea sera zao na changamoto za Wananchi kwa miaka 54 na namna bora ya kuzitatua.
6. JPM amekuwa akijisifu kuwa yeye ni tingatinga mchapa kazi kwa kutembea kwa gari kwa maelfu ya kilometa za vumbi ilhali amekuwa akiwaaminisha wananchi kuwa ameunganisha nchi kwa barabara za lami,jambo ambalo si la kweli hata kidogo.
7. Matumizi ya lugha za maudhi kwa wapinzani kama makapi,oil chafu,wapumbavu na lofa ilihali wao ndio waasisi wa kila jambo baya hapa nchini pamoja na hali mbaya ya uchumi wa nchi na maisha ya watanzania..
8. Kuwanunua wapinzani kwa fedha nyingi ilhali katika vijiji wanavyopita hali ya maisha kwa wananchi ni mbaya kuliko maelezo.Mfano Channel Ten walionesha hali mbaya ya maisha kwa wananchi wa kijiji cha Liuni huko Ruvuma (Hakuna shule yeyote,usafiri ni majanga,maji hakuna,zahanati hawaijui,maisha yao ni maigizo.
9. Viongozi wamekuwa wakiimba mshikamano wa Kitaifa,amani na Utulivu ilhali wao ndio chanzo cha kuhamasisha na kusababisha viashiria vya udini,ukabila na mgawanyiko katika jamii.
10.CCM haijajiweka wazi kama inafuata sera za ujamaa na kujitegemea ama ubepari ama umangimeza.Viongozi wamekuwa wakiimba ujamaa na kucheza kibepari ;
NB: Jamii yetu inapaswa ielewe kuwa CCM wameshindwa kwa miaka 54 je wataweza kuleta mbadiliko ndani ya miaka 5?...PUMZISHA CCM ILI IJITAFAKARI….IPE UKAWA KURA YAKO YA THAMANI!!

GONGA LIKE TWENDE PAMOJA!!!
 

Arselona

JF-Expert Member
Joined
Jan 13, 2011
Messages
638
Points
195

Arselona

JF-Expert Member
Joined Jan 13, 2011
638 195
Wale wa chadema waliohamia ccm ni uongo ila huyu wa ccm kwenda chadema ndio ukweli??
kwani wewe umekatazwa kuandika hiyo habari yako? kama unaona ni habari andika na sisi tutaisoma na kiandika comments humo. Sio kila habari kwako ni habari kwa mwingine.
 

Forum statistics

Threads 1,392,180
Members 528,564
Posts 34,101,039
Top