1. Aliyemwita mwenzie (Msigwa) ngedere, tena akiwa bungeni, alikuwa mpinzani?
2. Aliyesema Ikulu si wodi ya wagonjwa, hivyo lowasa mgonjwa hawezi ingia ikulu, alikuwa mpinzani?
3. Aliyewaambia wananchi, wanye kinyasi wakifanye kuwa lami, alikuwa mpinzani?
4. ALiyewaambia wananchi, wapige mbizi kwenye kuvuka pale Kigamboni, alikuwa mpinzani?