PreGE2025 Mwenyekiti UVCCM Iringa Vijijini: Vijana tujitokeze kwa wingi uchaguzi 2025, tupuuze propaganda

PreGE2025 Mwenyekiti UVCCM Iringa Vijijini: Vijana tujitokeze kwa wingi uchaguzi 2025, tupuuze propaganda

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
2,437
Reaction score
5,235
Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Wilaya ya Iringa Vijijini, Elia Juma Kidavile, ametoa wito kwa vijana kushiriki katika uchaguzi mkuu utanorajia kufaNyika Oktoba 2025 na kuupuuza wito wa chama pinzani unaoshinikiza kutoshiriki katika uchaguzi huo.

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Akizungumza na wananchi katika ziara yake leo tarehe 5 Aprili 2025 katika kijiji cha Ndiwili, kata ya Magulilwa wilaya ya Iringa, Kidavile amewasisitiza vijana kutojiingiza katika siasa za kuvuruga amani na badala yake kuwa mstari wa mbele katika kuhakikisha uchaguzi unafanyika kwa amani na utulivu.

 
Back
Top Bottom