PostGE2025 Mwenyekiti UVCCM Dar: Maandamano yana misingi yake. Haya tunayoyaona yakipangwa mitandaoni hayana uhalisia wa madai ya msingi

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

Mafyangula

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2025
Posts
505
Reaction score
887
Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Mkoa wa Dar es Salaam, Nasra Mohamed, amewataka vijana kuepuka kujiingiza katika wito wa kufanya maandamano yaliyopangwa kufanyika tarehe 9 Desemba 2025, akisema kuwa maandamano hayo hayana msingi na yanachochewa na watu wenye malengo yao binafsi.

Akizungumza leo, Nasra amesema baadhi ya vijana wanaojiandaa kushiriki maandamano hayo ni “vijana wanaolaghaiwa” na watu wanaotumia hisia zao kuleta vurugu na usumbufu katika jamii, jambo ambalo sio sahihi kulieleza kama maandamano halisi yenye hoja na misingi ya kikatiba.

“Maandamano yana misingi yake. Haya tunayoyaona yakipangwa mitandaoni hayana uhalisia wa madai ya msingi. Vijana wasitumiwe kama chombo cha kuvuruga amani ya nchi,” amesema Nasra.
 
Ukiwepo CCM na akili yako inapotea automatic
Baba na mama yangu wamemipigia kura samia nao pia hawana akili
 
Sasa huyo ostadhat uchwara aliyepewa cheo kisa kufunuliwa juba, ana lipi jipya la kusema?
Yeye awe buzzy na basha wake, pumbaaav
 
Kuna watu sasa hivi inabidi wanyamaze hasa hawa wana ssm yaan wanyamaze kwa kweli wanatonesha vidonda unaweza mlukia mtu ukanyofoa kolomeo... Hebu wanyamaze watupumzishe mafuvu yetu yamejaaa
 
Huyo mtoto Nasra aisee ngoja tu nikae kimya......😅
 
Asilete kiherehere GenZ wa Dar wasije wakamtembelea watu bado wanamajonzi.
 
Katika kundi la hovyo la vijana ni haya ma yuvisisiemu
 
Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Mkoa wa Dar es Salaam, Nasra Mohamed, amewataka vijana kuepuka kujiingiza katika wito wa kufanya maandamano yaliyopangwa kufanyika tarehe 9 Desemba 2025, akisema kuwa maandamano hayo hayana msingi na yanachochewa na watu wenye malengo yao binafsi.

Akizungumza leo, Nasra amesema baadhi ya vijana wanaojiandaa kushiriki maandamano hayo ni “vijana wanaolaghaiwa” na watu wanaotumia hisia zao kuleta vurugu na usumbufu katika jamii, jambo ambalo sio sahihi kulieleza kama maandamano halisi yenye hoja na misingi ya kikatiba.

“Maandamano yana misingi yake. Haya tunayoyaona yakipangwa mitandaoni hayana uhalisia wa madai ya msingi. Vijana wasitumiwe kama chombo cha kuvuruga amani ya nchi,” amesema Nasra.
Kapata cheo kwa kuvua chupi basi anajiona kamaliza maisha.
 
Wewe na Samia ni wapumbavu, mnaogopa maandamano hadi mnaua watu washenzi nyie.Wananchi walianza kufanya fujo baada ya askari polisi wenu kuanza kuwaua. Unaongea nini wewe punda? Wale waliofuatwa nyumbani na kuuawa waliandamana?
 
Serikali isingekuwa inazuia maandamano ya amani kwa watu kueleza hisia zao nadhani kusingekuwa na haja ya kutokea hizi vurugu, watu wangeandamana kwa amani kabisa ila shida hii nchi maandamano ya watu kudai haki na kuonyesha hisia zao yamekuwa yakizuiliwa. Kwahiyo imekuwa kuandamana ni sawa na kutangaza vita ya kupambana na jeshi la polisi.
 
Shida kubwa tuliyonayo kama taifa ni hawa wanachuo waliograduate madrasa..!! Zero brain
 
Back
Top Bottom