uvccm dar

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti UVCCM Dar: Katiba mpya sio suluhisho la matatizo ya vijana, uwajibikaji

    Mwenyekiti wa UVCCM mkoa wa Dar es Salaam, Nasra Mohamed amesema; "Hata tukitengeneza Katiba Mpya leo kama watu hawatawajibika bado tutarudi kwenye suala la malalamiko kwa Wananchi"
  2. Mafyangula

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Mwenyekiti UVCCM Dar: Maandamano yana misingi yake. Haya tunayoyaona yakipangwa mitandaoni hayana uhalisia wa madai ya msingi

    Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Mkoa wa Dar es Salaam, Nasra Mohamed, amewataka vijana kuepuka kujiingiza katika wito wa kufanya maandamano yaliyopangwa kufanyika tarehe 9 Desemba 2025, akisema kuwa maandamano hayo hayana msingi na yanachochewa na watu wenye malengo...
  3. tonicimmobility

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kijana wa UVCCM aomba ulinzi wa jeshi la Polisi, adai kutishiwa uhai wake

    Chief Annex ameomba video hii imfikie Mkuu wa Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam. Amesema kwa sasa anapokea vitisho vya kutekwa na hata kuuawa, baada ya kuonekana akisifia Chama cha Mapinduzi (CCM) na kumsifia Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Kwa heshima na usalama wake...
  4. J

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Jokate Mwegelo aongoza matembezi ya "First Time Voters"

    Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Jokate Mwegelo ameongoza matembezi ya Maelfu ya Vijana ambao pia ni Wapiga Kura wapya katika uchaguzi mkuu mwaka huu 2025 (Samia First Time Voters), ambapo matembezi hayo yameishia Katika ukumbi wa JNICC Jijini Dar es...
Back
Top Bottom