ladyfurahia
JF-Expert Member
- May 10, 2011
- 14,758
- 9,592
haya mapinduzi haya.....!haya haya....mimi sikubali!
Kwa mamlaka niliyopewa kutoka vitengo visivyowahusu kuvijua , vimenipa jukumu la kuwa MKAGUZI WA KILA ATAKAE UONGOZI , Kwa muktadha huo uongozi wenu hauna utakachokifanya mpaka NIWAGAKUE mmoja baada ya mwingine .
Within 48 hrs .
Nitamikagueni kwa protokali iliyoratibiwa kikamilifu .
Tumeamua kuingia WANAWAKE wenyewe maana MADUME WA JF hawawezi uongozi kazi yakubwa ni kukorofisha na kuharibu humu ndani sasa ndo watuone MAJIKE tukileta mapinduzi ya zanzibar 12/01/2014
he he jamani msiniingilie majukumu yangu ya uweka hazina
Wala si ajabu !
Ni kitu kinawezekana , ije itoke viongozi wote mmejazwa mimba (mumemimbishwa)kwa mkupuo mko matanity liv ! Jukwaa litaongozwa na wamimbishaji au?
hebu acha kuleta ubabe na propaganda za KIDUME humu wee hujui kuwa mwaka jana hamkufanya chochote na mlitupa ahadi hewa kuwa mtatujengea vyoo vya jf ili tukimaliza kuchat tuwe tunajisafishia huko
haitakuja kutokea kabisa hiyo kitu kwani wewe unajua sisi ni majike wote hapa mjengoni kwa taarifa yako mm ni jikedume kama hujui
sie wageni tusiokua na kamba miguuni
hata cheo cha washika vibendera hatupewi jamani!!