Mbowe: Jumla ya sh 204M za matibabu ya Lissu zimechangwa, aomba michango zaidi, aishutumu Serikali kuhusika na shambulio

Nchi hii kwa sasa wengine tumeamua kukaa kimya tu.. Mungu azidi kumpigania Lissu wetu, arudi akiwa salama salimini kwani Lissu ni zawadi kwetu toka kwa Allah!
 
●"Watu wetu wamepotea, watu wetu wameuawa, wanapigwa risasi mchana kweupe na hakuna hatua ya maana inayofanyika." Mbowe.
 
Kwenye huu mtandao wa JF nimetokea kukuchukia haswa na nina wasi wasi wewe lazima ni DAB kwa kweli khaaa una roho mbaya mno kwa kweli . hata maandiko yameandika cheka na wachekao lia nawalio kweli wewe mama yako asingekuzaa lazima angekufa kwa ugonjwa wa kansa ya kizazi ................ na baba kibofu cha mkojo
 
TAARIFA RASMI YA CHAMA JUU YA MAKUSANYO NA MATUMIZI YA FEDHA ZA MATIBABU YA MHE.LISSU

1. MAKUSANYO

- Siku ya tukio tarehe 7/09/2017 michango ya wabunge na viongozi wengine Tsh.Mil 48,46500
-Michango ya Wananchi kupitia namba ya mhe. Esther Matiko Tsh.mil 24,20000
-Michango ya wananchi kupitia akaunti ya CRDB Tsh.Mil.52,000,000
Michango ya Wabunge wote (nusu ya posho za kikao) Tsh.Mil.43,000,000 (MPAKA LEO HAZIJAWASILISHWA)
-Watanzania walioko Marekani Tsh.Mil.44,000,000
TLS US dollar 950

JUMLA KUU= TSH. MILLION 204

Gharama za matibabu mpaka sasa Mil. 162,800,000

NB: Mhe. Lissu anatumia 95% ya damu ya watu aliyoongozewa.

Joseph Mohonia Politician
My Take: Mwenendo wa Gharama hizi unaweza Kuvunja Rekodi Ya Dunia Kwa kuwa Ghali?
unafikiri Lissu alitobolewa na mbigiri?
 
●"Nimalizie kwa gharama za matibabu. Hakuna kificho kila kitu kimewekwa humu. Mpaka juzi gharama zilifikia Ksh Milioni 6.7." Mbowe.
 
●"Leo kwa gharama hizi kwa taarifa kutoka Nairobi kabla sijaanza mkutano gharama zimeshafika Ksh Milioni 7.4" Mbowe.
 
Mku Mimi ni ccm lakini hizi kauli zenye Utanzania kwa Mtu mwenye matatizo.
Hebu turudi kwenye mstari sio ketjeli ambazo zinamaswali mengi kutoka ktk chama chetu tutumie akili zetu alizotupa Mwenyenzi Mungu sio kutumika kwa kiasi hiki.

Ee Mwenyezi Mungu naomba uzidi kuimarisha afya ya Lissu na uponyaji kabisa. Amen
Mimi nasimama na wana CCM wanaotambua uwepo wa mungu kama wewe
 
●"Ksh Milioni 7.4 ni sawa na Tsh Milioni 162.8 kwa wiki mbili za matibabu lakini tunasema hata zingekuwa Bilioni, zimemuokoa Lissu." Mbowe.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom