Mwenyekiti CHADEMA na mkuu Wa soko la Kilombero wameng'oa bendera za CCM

aminangalo

JF-Expert Member
Aug 31, 2013
974
0
Ephata Nanyaro mwenyekiti wa chadema Arusha akishirikiana na mkuu wa soko la kilombero Arusha mjini ameshiriki kushusha bendera za Ccm kwenye soko la kilombero

Baada ya dili yao kugundulika mkuu huyo wa soko alishusha bendera za Ccm na kuacha za chadema baada ya zoezi hilo kufanyika juzi nusu kwa malengo ya kuja kuhitimisha kwa kuvunja shina lililozinduliwa na katibu mkuu Wa Ccm ndugu kinana

Baada ya viongozi Wa Ccm wa kata ya Levolosi kujulishwa na wafanyabiashara Wa soko la Kilombero kuwa kuna uhuni huo waliandamana kwenda kwa mkuu Wa soko la Kilombero mkuu huyo wa soko alikiri kushusha bendera hizo akidai alipewa maagizo na mkurugenzi Wa. Jiji la Arusha Juma IDD na anayo barua ya kufanya hivyo

Katibu Wa ccm wa kata ya levolosi Ndosa alimsii Sana mkuu Huyo wa soko aonyeshe barua ya mkuregenzi akakataa katukatu

Mwenyekiti Wa Uvccm wilaya ya Arusha mjini alipoingia kuwatuliza vijana wake aliwaomba watulie baada ya kutulia alimwambia mkuu huyo Wa soko kuwa aache mchezo wakitoto kwanza kucheza na Kazi yake pili kufanya mzaa mbaya ambapo alimwagiza atoke ofisini nakwenda kurudisha haraka Sana hizo bendera nakupa masaa mawili kamwite huyo mkurugenzi aliyekuambia ushushe bendera za Ccm na kuacha za chadema mpandishe naye laasivyo hapataeleweka hapa mjini

Masaa mawili baadae bendera hizo zilirudishwa Kama mwanzo ni pale soko la vitunguu kilombero
 
Jahman

JF-Expert Member
Dec 25, 2011
470
250

Ukiwa na joto unaangaika,
Huna mume?
 
Tukundane

JF-Expert Member
Apr 17, 2012
10,774
2,000
Kumbe na CCM nao huwa wanaumia.Ndiyo kusema kuwa mkuki kwa binadamu mchungu kwa nguruwa mtam.
 
hans79

JF-Expert Member
May 4, 2011
3,802
1,225
Ephata Nanyaro mwenyekiti wa chadema Arusha akishirikiana na mkuu wa soko la kilombero Arusha mjini ameshiriki kushusha bendera za Ccm kwenye soko la kilombero

Baada ya dili yao kugundulika mkuu huyo wa soko alishusha bendera za Ccm na kuacha za chadema baada ya zoezi hilo kufanyika juzi nusu kwa malengo ya kuja kuhitimisha kwa kuvunja shina lililozinduliwa na katibu mkuu Wa Ccm ndugu kinanaBaada ya viongozi Wa Ccm wa kata ya Levolosi kujulishwa na wafanyabiashara Wa soko la Kilombero kuwa kuna uhuni huo waliandamana kwenda kwa mkuu Wa soko la Kilombero mkuu huyo wa soko alikiri kushusha bendera hizo akidai alipewa maagizo na mkurugenzi Wa. Jiji la Arusha Juma IDD na anayo barua ya kufanya hivyo

Katibu Wa ccm wa kata ya levolosi Ndosa alimsii Sana mkuu Huyo wa soko aonyeshe barua ya mkuregenzi akakataa katukatu

Mwenyekiti Wa Uvccm wilaya ya Arusha mjini alipoingia kuwatuliza vijana wake aliwaomba watulie baada ya kutulia alimwambia mkuu huyo Wa soko kuwa aache mchezo wakitoto kwanza kucheza na Kazi yake pili kufanya mzaa mbaya ambapo alimwagiza atoke ofisini nakwenda kurudisha haraka Sana hizo bendera nakupa masaa mawili kamwite huyo mkurugenzi aliyekuambia ushushe bendera za Ccm na kuacha za chadema mpandishe naye laasivyo hapataeleweka hapa mjini

Masaa mawili baadae bendera hizo zilirudishwa Kama mwanzo ni pale soko la vitunguu kilombero

Sio bendera bali walikuwa wanawaondoa inzi wa kijani sokoni.
 
Mungi

JF Gold Member
Sep 23, 2010
16,981
2,000
Kilombero ipi mbona bendera hizi hapa? Mimi nasubiria muda ufike niziondoe hazina maana ya kuwepo kwenye jiji la chadema
 
Simiyu Yetu

JF-Expert Member
Apr 29, 2013
18,939
2,000
Siasa za arusha mnajuana wenyewe make karibu arusha yote ukawa na bavicha wanauza bangi ndiyo maana siku ile Lema alisema bavicha hawataenda kwenye uchaguzi wa kalenga kuuza bangi ila wataenda kulinda kura kwahiyo tafsiri ya hili ni kwamba bavicha arusha wanauza bangi.
 
Wanaharisha mpaka Leo tangu watoke kalenga hali haikuwa mzuri kule
 
Tetty

JF-Expert Member
Jan 6, 2012
26,386
2,000
Ephata Nanyaro mwenyekiti wa chadema Arusha akishirikiana na mkuu wa soko la kilombero Arusha mjini ameshiriki kushusha bendera za Ccm kwenye soko la kilombero

Baada ya dili yao kugundulika mkuu huyo wa soko alishusha bendera za Ccm na kuacha za chadema baada ya zoezi hilo kufanyika juzi nusu kwa malengo ya kuja kuhitimisha kwa kuvunja shina lililozinduliwa na katibu mkuu Wa Ccm ndugu kinana

Baada ya viongozi Wa Ccm wa kata ya Levolosi kujulishwa na wafanyabiashara Wa soko la Kilombero kuwa kuna uhuni huo waliandamana kwenda kwa mkuu Wa soko la Kilombero mkuu huyo wa soko alikiri kushusha bendera hizo akidai alipewa maagizo na mkurugenzi Wa. Jiji la Arusha Juma IDD na anayo barua ya kufanya hivyo

Katibu Wa ccm wa kata ya levolosi Ndosa alimsii Sana mkuu Huyo wa soko aonyeshe barua ya mkuregenzi akakataa katukatu

Mwenyekiti Wa Uvccm wilaya ya Arusha mjini alipoingia kuwatuliza vijana wake aliwaomba watulie baada ya kutulia alimwambia mkuu huyo Wa soko kuwa aache mchezo wakitoto kwanza kucheza na Kazi yake pili kufanya mzaa mbaya ambapo alimwagiza atoke ofisini nakwenda kurudisha haraka Sana hizo bendera nakupa masaa mawili kamwite huyo mkurugenzi aliyekuambia ushushe bendera za Ccm na kuacha za chadema mpandishe naye laasivyo hapataeleweka hapa mjini

Masaa mawili baadae bendera hizo zilirudishwa Kama mwanzo ni pale soko la vitunguu kilombero

Mkuki kwa kiti moto ukimkuta binadamu analalama kweli.Sasa mbona nyie mnatoa za upinzani?Ukila vya wenzio na vyako huliwa.Poleni.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom