Ruhazwe JR
JF-Expert Member
- Jan 31, 2011
- 3,402
- 944
kumbukeni kufanya kazi, mikutano isiyoisha itawaletea njaa na umasikini. Kazi kwanza.
kumbukeni kufanya kazi, mikutano isiyoisha itawaletea njaa na umasikini. Kazi kwanza.
mkuu wewe umefanya kazi kubwa sana kuwaomba na kuwaeleza chadema wafike huko...binafsi nakupongeza sana..
Hii sio breakNews Mkuu,,, usitumie neno hilo vibaya bhana...
Asante sana kwa taarifa. Ila mkuu usisaha kutoa updates kesho ukiambatanisha na picha ikiwezekana!!
"MUNGU ILINDE CHADEMA"
Nimeona kwenye FB page ya Heche.
Tafadhali msiishie hapo same mjini. pandeni na kule milimani kwenye vijiji vya bombo, mwembe, mtii, lugulu, mamba miyamba....mna kwingineko maana huko ndo kuna watu wanaohitaji elimu ya ukombozi.
Kilango na matayo wamewasqueeze sana akili zao hao wapare.
kumbukeni kufanya kazi, mikutano isiyoisha itawaletea njaa na umasikini. Kazi kwanza.
Mkuu Simon James,
Heshima kwako kamanda, kweli umepigania kuhakikisha vita ya ukombozi inafika Same, na juhudi zako tumeziona.
Hongera sana, endeleeni kuwahamasisha watu kujitokeza kwa wingi kwenye mikutano.
Mungu Ibariki Same
Mungu Ibariki CHADEMA
Mungu Ibariki Tanzania
Pole kama neno lime kuumiza. Lakin kwa wana same ni Breking news baada ya kunyonywa miaka nenda rudi. Kwa hakika huu ni ukomboz
Si haba. Zikitumiwa vizuri zitakuwa mwanzo mzuri wa ukombozi.Ratiba ni siku 4 tu muombe Mungu
kumbukeni kufanya kazi, mikutano isiyoisha itawaletea njaa na umasikini. Kazi kwanza.
kazi, elimu ya uraia, kuimarisha chama na kupokea wanachama wapya vinaenda sambamba muda hautusubiri.... wakati ukuta 2015 siyo mbali kaka.kumbukeni kufanya kazi, mikutano isiyoisha itawaletea njaa na umasikini. Kazi kwanza.
Si haba. Zikitumiwa vizuri zitakuwa mwanzo mzuri wa ukombozi.