simon james
JF-Expert Member
- Apr 1, 2012
- 283
- 140
Kwani mikutano hiyo inafanyika nchi nzima kwa wakati mmoja kiasi cha kusema kwamba shughuli za uzalishaji zitasimama? Kumbuka kwamba inafanyika sehemu moja na kikundi kidogo cha watu tena kwa muda maalum siyo kwa masaa 24. Hakuna kulala mpaka kieleweke.kumbukeni kufanya kazi, mikutano isiyoisha itawaletea njaa na umasikini. Kazi kwanza.
kumbukeni kufanya kazi, mikutano isiyoisha itawaletea njaa na umasikini. Kazi kwanza.
Kwani hali zao sasa hivi zikoje?kumbukeni kufanya kazi, mikutano isiyoisha itawaletea njaa na umasikini. Kazi kwanza.
Well done Simon. All the very best wishes ktk mikutano na shughuli nyingine za ukombozi. Go CDM!Wapendwa wana JF Habari za uhakika ni kwamba Kilio Cha Wananchi Wilaya ya Same kwa uongozi wa CHADEMA Taifa kimesikika na Mwenyekiti wa BAVICHA TAIFA Anatarajiwa kuanza Ziara yake ya Siku 4 Same. VUA Gamba Vaa Gwanda Kuanzia tar 10/05/2012. Mkutano wa ufunguzi wa Ziara hiyo utafunguliwa Standi kuu ya mabasi Same Alhamis tar 10 saa 7 mchana na Ratiba za ufunguz Rasmi wa ofisi za CHADEMA kata zote utaendelea kwa siku zote hizo. Karibuni wote Kadi na vifaa vingine vitakuwepo. Waandishi wahabari wote mnakaribishwa kurusha matukio ili Wa Tz waone jinsi wana nchi wa Same walivyo ichoka CCM na Wabunge wake. Mwisho Shukrani ziwafikie viongozi Wa CHADEMA TAIFA WOTE
Wakati tukiwa tunafanya mikutano tukumbuke na kufanya kazi za kuwatumikia wananchi ambao wamewapa dhamana.
Wapendwa wana JF Habari za uhakika ni kwamba Kilio Cha Wananchi Wilaya ya Same kwa uongozi wa CHADEMA Taifa kimesikika na Mwenyekiti wa BAVICHA TAIFA Anatarajiwa kuanza Ziara yake ya Siku 4 Same. VUA Gamba Vaa Gwanda Kuanzia tar 10/05/2012. Mkutano wa ufunguzi wa Ziara hiyo utafunguliwa Standi kuu ya mabasi Same Alhamis tar 10 saa 7 mchana na Ratiba za ufunguz Rasmi wa ofisi za CHADEMA kata zote utaendelea kwa siku zote hizo. Karibuni wote Kadi na vifaa vingine vitakuwepo. Waandishi wahabari wote mnakaribishwa kurusha matukio ili Wa Tz waone jinsi wana nchi wa Same walivyo ichoka CCM na Wabunge wake. Mwisho Shukrani ziwafikie viongozi Wa CHADEMA TAIFA WOTE