palalisote
JF-Expert Member
- Aug 4, 2010
- 8,335
- 1,463
hakikufikia level ya kuitwa chama kilikuwa bado kwenye steji ya KIKUNDI.
mkuu na wao wanajiita wapinzaniWaachen Wafu Wazikane.
. Mtoto ACT alizaliwa akiwa na usalitiology virus, wanaomegenya uongozi wa mtoto. Bahati mbaya hakuna Dr wa kutibu, mwache ajifie.nadhani kilianza kufa baada tu ya kuanzishwa...
Si walisema wao hawafukuzani? kila mtu anamfukuza mwenzie...lol
zitto ndiye atakuwa chairman wa CDM kitakapotaifishwaAisee,mwenyekiti wa ACT kung'olewa ndio kusema Zitto Kabwe ndiye atakaye shika usukani?:
Keshawatosa zamani...
Imagine siku Yesu alipowaambia wanafunzi wake watangulie kwa boti kisha kawafuata akitembea kwa miguu juu ya maji...
Sasa hawa waliambiwa watangulie kwa boti... baadae Zitto kachukua zake gari karudi town