Mwenye uzoefu wa Hizi Gari HONDA CROSSROAD SUV , CC 1790,

Mwanyoro

JF-Expert Member
Dec 11, 2014
630
445
Uimara wake, Upatikanaji wa spare, na uwezo wa kuhimili mikikimikiki katika Barabara za Vumbi.
 
  • Thanks
Reactions: Lee
Kiujumla Honda spare zake ni adimu sana na ukizipata basi bei yake huwa juu. Advantage ni kuwa spare zake ukifunga ni mkataba mpya (hakuna za magumashi kama Toyota).
So kama una pesa za mawazo kidogo hii gari inaweza ikakuendesha upande wa maintanance.
Ila overall ni gari nzuri, ipo stable na comfortable
 
Honda, sio popular sana hapa nyumbani Tanzania, but jirani zetu Zambia ndio gari zao, hii ina maana kuwa automatically spare parts ni nadra dukani na hata mafundi wake pasina shaka wanasumbua. Ila ni gari nzuri and fuel consumption yake ni nzuri.
 
Back
Top Bottom