Kiujumla Honda spare zake ni adimu sana na ukizipata basi bei yake huwa juu. Advantage ni kuwa spare zake ukifunga ni mkataba mpya (hakuna za magumashi kama Toyota).
So kama una pesa za mawazo kidogo hii gari inaweza ikakuendesha upande wa maintanance.
Ila overall ni gari nzuri, ipo stable na comfortable
Honda, sio popular sana hapa nyumbani Tanzania, but jirani zetu Zambia ndio gari zao, hii ina maana kuwa automatically spare parts ni nadra dukani na hata mafundi wake pasina shaka wanasumbua. Ila ni gari nzuri and fuel consumption yake ni nzuri.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.