Mwenye uzoefu na uelewa juu ya Mitsubishi outlander

Wawii

Member
Oct 29, 2011
6
1
Ndg wa JF napenda kupata maelekezo na uzoefu juu ya hii gari tajwa hapo mie nimeona ni nzuri kwa muonekano ila napenda piakujua undani zaidi has kwenye upatiaknaji wa spare zake stability yake barabarani
701787
BF580306_500a5d.jpg
BF580306_33108c.jpg
 
Attachments

  • BF580306_33108c.jpg
    BF580306_33108c.jpg
    23.2 KB · Views: 107
sijui spea za hilo gari vipi ila as far as i know spare za Mitsubishi adimu kimtindo
 
Mitsubishi outlander ni gari toleo jipya nafkiri zimeanza kutolewa 2004 au 2005. Ni nzuri 7 seater na 4WD. Na inakula mafuta vizuri engine 2000cc. Ila spare zake ni hakuna na customs tax yake ni kubwa sana kulinganisha na magari mengine ya aina yake.
 
Spare mkuu zipo maana kuna dealer hapa Dar. Nyerere Rd. Sema sifahamu kuhusu uimara na bei.
 
Ni Imara ila spare bei juu kulinganisha na toyota na nissan, lakini last long na ni stable barabarani ila kama ni mjasiriamali kama mm nakushauri go with toyota or nissan hakuna kuumiza kichwa spare kila chochoro
 
Hivi Nissan nazo spare sio ghali eeeeh?
 
Almanusura ninunue hili Gari...nikashtuliwa...
Japo uzi wa siku mingi sio ishu!! Aliekushtua alikwambia nini kuhusu huyu mnyama? Anyway hii gari ninayo na itoshe kusema iko njema kwa bajeti ya kizalendo.

Iko na built-in subwoofer mziki wake mzuri tu, comfortability ndo usiseme, kwenye mbio ina balaa lake kifupi ni gari ngumu na imara, nawashauri wanaotaka inunua wazingatie vilainishi vilivyoelekezwa na manufacturer

Cheers.
 
Che
Mkuu samahani naomba nijuze ni fundi gani mzuri wa hizi mashine unaemtumia wewe, maana mashine ipo kwenye maji inakuja
 
Kwanza hongera, kuhusu fundi sidhani kama ni sahihi sana kuanza kuichokonoa maana hiyo gari kibongo bongo bado mpya kingine huko huko inakotoka kuna inspection/service imefanyika.

Angalia vitu vya msingi kama oil ya engine na gear box labda ucheki condition ya tairi japo pia unaweza tembelea zilizokuja kwa muda then baadae ukabadilisha kama nilivyofanya mimi.

Na ikifika mahala unahitaji service kama uko Dar zipo garage nzuri ulizia wenyeji watakupa muongozo mie sipo Dar. Muhimu zaidi kama unataka kumwaga oil ya gear box tumia ile ambayo ni recommended asikudanganye mtu kuwa zinaingiliana kataa kata kata. Na kama transmission yake ni CVT tumia oil Mitsubishi J1.

Engine oil ukipata Castro 5W-30 ni safi tu. Chuma iko vzr sana kila la kheri na kama una swali lingine karibu
 
Samahani mkuu. Na matumizi ya mafuta yakoje. Mfano kilometa kwa lita ngapi? Vipi kuhusu barabara mbovu za wilayani na vijijini inaweza kuvumilia?
 
8-9km/L town trip, high way 12-13km/l ila utumikaji wa mafuta una vipengele mfano kama plug hazichomi vizuri mafuta yanatumika kuliko. Hata kama parts za engine haziko sawa inachangia mafuta kwenda mengi. Gari zenyewe hatununui zero km hivyo performance yake lazima iwe tofauti. Yote kwa yote hii machine utaifurahia kwenye route ndefu maana mafuta ni kama inanusa tu

Mzee hii gari ni SUV ground clearance yake iko juu so inapita vizuri tu kwenye hizo barabara za wilayani na kimsingi hizo ndio njia zake ila uwe na nidhamu sio unafukia shimo tu machine iko poa sema ndio hivyo wabongo tunapenda kufanana
 
Asante mkuu kwa ufafanuzi
 
Kwanza hongera, kuhusu fundi sidhani kama ni sahihi sana kuanza kuichokonoa maana hiyo gari kibongo bongo bado mpya
emoji28.png
kingine huko huko inakotoka kuna inspection/service imefanyika.

Angalia vitu vya msingi kama oil ya engine na gear box labda ucheki condition ya tairi japo pia unaweza tembelea zilizokuja kwa muda then baadae ukabadilisha kama nilivyofanya mimi.

Na ikifika mahala unahitaji service kama uko Dar zipo garage nzuri ulizia wenyeji watakupa muongozo mie sipo Dar. Muhimu zaidi kama unataka kumwaga oil ya gear box tumia ile ambayo ni recommended asikudanganye mtu kuwa zinaingiliana kataa kata kata. Na kama transmission yake ni CVT tumia oil Mitsubishi J1.

Engine oil ukipata Castro 5W-30 ni safi tu. Chuma iko vzr sana kila la kheri na kama una swali lingine
Kwanza hongera, kuhusu fundi sidhani kama ni sahihi sana kuanza kuichokonoa maana hiyo gari kibongo bongo bado mpya kingine huko huko inakotoka kuna inspection/service imefanyika.

Angalia vitu vya msingi kama oil ya engine na gear box labda ucheki condition ya tairi japo pia unaweza tembelea zilizokuja kwa muda then baadae ukabadilisha kama nilivyofanya mimi.

Na ikifika mahala unahitaji service kama uko Dar zipo garage nzuri ulizia wenyeji watakupa muongozo mie sipo Dar. Muhimu zaidi kama unataka kumwaga oil ya gear box tumia ile ambayo ni recommended asikudanganye mtu kuwa zinaingiliana kataa kata kata. Na kama transmission yake ni CVT tumia oil Mitsubishi J1.

Engine oil ukipata Castro 5W-30 ni safi tu. Chuma iko vzr sana kila la kheri na kama una swali lingine karibu
Nashkuru saana kiongozi kwa kunielekeza vizuri, ngoja mnyama aingie mjini tu.
 
Back
Top Bottom