Mwenye uzoefu na hili linalo tokea anisaidie

Ukiwa na pesa utakuwa na mwanamke, ila bado moyoni utajihisi lonely sababu unajua huyu mwanamke kilichomleta kwangu ni pesa, sio mimi luckyline
Ahaaaaa si unaachanae bana ? Kwani umezaliwa nae mwanamke akupe stress za kazi gani? Wanawake wengi hivi mmoja akuvimbishe bichwa? Nooooo
 
Pata demu mmoja wa JF ambaye ana shida zake akuhamishie wewe wapo humu akina Turudie , akina Nyamsisi, akina Chawote, Receptionist wa Dodoma n.k
 
Pole sanaa ndugu. Ila huwa inatokea inawezekana ukiangalia kwa umri wako kuna vitu hujavitimiza na wengine kwa umri wao wamevitimiza mfano kuwa na familia yenye furaha.
Hivyo nakushauri weka ratiba ya maombi. Kila siku usiache kuomba. Lkn jenga utaratibu wa kwenda kutembelea vituo vya watoto wanaoishi kwenye mazingira magumu. Ukifika huko utakuta kuna watoto waliachwa na wazazi wao wakati wanazaliwa,,wengine kuokotwa. Cheza nao kula nao hakika ukirudi mawazo hayo yanaweza kupungua.

Mungu akusaidie sanaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndiyo choice niliyo bakiwa nayo sasa hivi mkuu, kweli na fikiria sana kutumia madawa ya kulevya na pombe kali, na ndipo akili inapo nituma sasa.

Japo najitahidi kukwepa sana

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
Achana na pombe, achana na madawa ya kulevya hizo cocaine na ndugu zake, mimi naongelea bangi ambayo ni mmea pure....kuna upotoshaji mkubwa wa kuiweka ganja pamoja na vitu vya ajabu ajabu
 
1. Ukisema kuanzia leo usifanye kabisa kazi. Je salio lako linaweza kufika miezi 6 kwa matumizi ya tsh 10k kwa siku? Kama haifiki TAFUTA HELA.
2. Unapiga punyeto? Kama unapiga acha. Huenda hii ni sababu kubwa usiyoitaja. Si unaona hata dronedrake akiandika comments zake ule mwandiko umekaa ki-hasira hasira?
3. Piga chini wapenzi wote kisha anza upya. Mungu atamleta anayekufaa ukiomba kwa imani.
4. Jiambie kwamba HIYO HALI INASABABISHWA NA UPUMBAVU WAKO... Kwahiyo kuanzia leo AMUA KUACHA UPUMBAVU. Haiwezekani upate hasira hovyo hovyo kama sio mpuuzi.
 
Kwani ukitongoza wanawake inakuaje, tuanzie na hapo jjs2017
Kuna kukubaliwa na kukataliwa.

Kuna wengine wengi tuu wanakubali ila shida najiona ni mimi maana wakihisi tuu sipo sawa kiakili naona wanaondoka wenyewe au sometime mimi binafsi najikuta na wapotezea yani naona kama nae ni mtihani tuu..





Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom