Mwenye uzoefu na hili linalo tokea anisaidie

Utakuwa na depression+ anxiety disorders.....Jaribu ganja kuna kipindi nilipitia frustrations, hata kulala nilikuwa.... siwezi ndio ikaniokoa, mpaka leo naiheshimu ganja
images - 2023-06-11T080052.032.jpeg
 
Mwanaume akiwa na pesa hawezi kosa mwanamke tatizo lako linaanzia hapa.
Hajasema hana mwanamke, anao ila hana mapenzi nao. Tatizo sio wanawake wala pesa. tatizo ni Anxiety na Stress and probably anasumbuliwa na childhood traumas. Solution ya kwanza ni kuongea kila kitu kama alivyosema hapa anatakiwa kukisema kwa mtu anayemheshimu sana kumuogopa. SPEAK IT OU utapona,
 
Tunafanana ila mie ninamashaka ni mkono wa mtu hivyo rudi kilipofukiwa kitovu chako waone wazee wakuogeshe.umenielewa nadhani mtafute mzee mwenye busara kijijini kwenu akupeleke sehemu.maana kuna mtu anaishi maisha yako wewe upo kama kivuli tu
daaah watu wabaya sana ndugu yangu..wameharibia maisha yangu hivi hivi naona.
 
Tafuta mpenzi bro uishi nae hata wiki tu akuchangamshe usije kufa kwa sonona bure
Sidhani kama nina sonona maana hata madaktari wa afya ya akili , kutoka hospitali mbili za rufaa, na hospitali tatu za maspecialist wakubwa tuu. majina na hifazi wameshindwa kunielewa kabisa

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Habari ya asubuhi ndugu zangu.

Mimi ni kijana wenu mwenye umri wa miaka 30+, sijaoa wala sina familia na pia sina mwanamke yeyote wa kudumu,nakuja hapa kuomba kwenu ushauri wa kina juu ya haya mazingira ninayo ya pitia maana yamekua tishio kwa maisha yangu sasa na siku za usoni ndugu zangu, nisaidie kijana wenu

NIMEKUA NIKIKUMBANA NA MAZINGIRA HAYA NDUGU ZANGU

1: kuhisi upweke sana moyoni kiasi cha kujiona siyo binadamu wa kawaida

2: Napatwa na hisia za uchungu na hasira hali inayo pelekea kuhisi kama nataka kulipuka flani hivi. ( Yani kunakua na kitu kama natakiwa nikitapike au ni kipasue ndani ya moyo wangu kitoke niwe salama)

3: Mwili wangu na akili umechoka sana mpaka na jihisi mwili hauna energy ya kutosha na akili kuzimia

4: Nimekua ni kihema sana na kutoa hewa kwa nguvu ili mwili urelax

5: Nimekua mtu wakukosa amani moyoni kabisa ndugu zangu niwe kazini, niwe nyumbani au hata kwenye mikusanyiko ya watu

6: Sina marafiki wa kudumu hata mmoja kwa sasa na kuchangamana na watu najikuta tuu automatically hata nikiwa na watu bado nakuwa mpweke sana.

7: Sina furaha kabisa , japo na fake sana furaha ila kiukweli mimi sinaga furaha hata kidogo tuu

8: Nime kuwa ni mtu wa kuhisi na kuona imagination za matukio ya kutisha tisha na ya hatari tupu ndugu zangu kama ajali, vifo, mauaji na ukiukwaji wa haki za binadamu na manyanyaso makali , pamoja na vitendo vya kikatili sana kwa binadamu na wanyama

9: Nimekua ni mtu wa kukosa usingizi kabisa, japo mwili unataka muda wote uwe umelala tuu

10: Macho yangu ya mekua angavu sana inafika mahali nakua kama mtu mwenye kusinzia sana

HATUA NILIZO JITAHIDI KUZICHUKUA KUKABILIANA NA MAZINGIRA HAYO ILA ZIKAGONGA MWAMBA

1: Nilienda hospitali ya Rufaa nikakutana na wataalamu wa afya ya mwili nikawaelezea jinsi nilivyo, wakanielekeza kwa wataalamu wa afya ya akili ila niliishiwa kupewa dawa kama "amitrilia" na zikagonga mwamba baadae nilihamishiwa kwa specialist mmoja na kunipa dozi ya vidonge vya "phenobabiton"


2: Dawa zao ziligonga mwamba zote na madaktari wakanionyesha kukata tamaa na mimi japo hawakuniambia ila mazungumzo yao yalionyesha hivyo, waliingia mpaka library zaidi ya madaktari tano ila waliishia kuniambia katumie hizo dawa tuu na uombe sana.

3: Nimejitahidi kwenda kwenye maombi ila naona huko wananichanganya sana , kila mtumishi anaongea lake .

4: Nimejitahidi kujichanganya kwenye gym na viwanja vya mazoezi , pamoja na kupiga mazoezi makali sana ila hakuna badiliko chanya bado nipo hivyo hivyo

Ndugu zangu naombeni ushauri na msaada wenu nifanyaje ndugu zangu.

Asanteni



Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
amri Kuu ni upendo lizingatie hili
 
Sidhani kama nina sonona maana hata madaktari wa afya ya akili , kutoka hospitali mbili za rufaa, na hospitali tatu za maspecialist wakubwa tuu. majina na hifazi wameshindwa kunielewa kabisa

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
Tafuta mwanamke akupinye usiwe mbishi sisi madaktari wa Jf ndo tunakwambia


Unahitaji tu kupendwa vizuri
 
Utakuwa na depression+ anxiety disorders.....Jaribu ganja kuna kipindi nilipitia frustrations, hata kulala nilikuwa.... siwezi ndio ikaniokoa, mpaka leo naiheshimu ganjaView attachment 2653381
Ndiyo choice niliyo bakiwa nayo sasa hivi mkuu, kweli na fikiria sana kutumia madawa ya kulevya na pombe kali, na ndipo akili inapo nituma sasa.

Japo najitahidi kukwepa sana

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
1- Upweke utakusababisha upate msongo wa mawazo na mwisho sonona.
2- Sonona itapelekea upate maradhi yanayo shambulia moyo.
3- Una kila dalili ya tatizo la afya ya akili.
4- Umekua sasa, oa.
 
Kwahiyo hali yako usioe sasa hivi otherwise hali itazidi na utakuwa unajiongelesha mwenyewe popote ulipo.
Kuanza kujiongelesha mwenyewe na kujijibu mwenye hiyo hatua nimesha fikia..

Kunamuda naweza nikawa na jiongelesha na kujijibu mwenyewe alafu automatically naanza kunyoosha mikono juu , kama mtu anaye cheza cheza .

Sieleweki in-short

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom