Mtangoo JF-Expert Member Joined Oct 25, 2012 Posts 6,163 Reaction score 5,624 Jul 4, 2018 #21 Quinton Canosa said: sawa kuu lakini naomba uje na mifano ya tables ambazo zinaonyesha hizo relationships,ningefurahi zaidi Click to expand... Usipende shortcut kwenye kujifunza ili ufanye jambo fulani. Soma kujifunza, mwanzo mpaka mwisho. Install Postgresql halafu ufuate tutorial hii: PostgreSQL Tutorial - Learn PostgreSQL from Scratch
Quinton Canosa said: sawa kuu lakini naomba uje na mifano ya tables ambazo zinaonyesha hizo relationships,ningefurahi zaidi Click to expand... Usipende shortcut kwenye kujifunza ili ufanye jambo fulani. Soma kujifunza, mwanzo mpaka mwisho. Install Postgresql halafu ufuate tutorial hii: PostgreSQL Tutorial - Learn PostgreSQL from Scratch
Quinton Canosa JF-Expert Member Joined Nov 2, 2012 Posts 1,228 Reaction score 1,264 Jul 4, 2018 Thread starter #22 Stefano Mtangoo said: Usipende shortcut kwenye kujifunza ili ufanye jambo fulani. Soma kujifunza, mwanzo mpaka mwisho. Install Postgresql halafu ufuate tutorial hii: PostgreSQL Tutorial - Learn PostgreSQL from Scratch Click to expand... nimekusoma mkuu
Stefano Mtangoo said: Usipende shortcut kwenye kujifunza ili ufanye jambo fulani. Soma kujifunza, mwanzo mpaka mwisho. Install Postgresql halafu ufuate tutorial hii: PostgreSQL Tutorial - Learn PostgreSQL from Scratch Click to expand... nimekusoma mkuu
LaplaceTransformation JF-Expert Member Joined Mar 21, 2017 Posts 776 Reaction score 679 Jul 6, 2018 #24 Ngosi said: Kwanini usitumie SPSS ndo nzuri sana kwa DATABASE haswa katika kufanya RESEARCH Click to expand... @Ngosi Statistical application no tafauti na Database application.
Ngosi said: Kwanini usitumie SPSS ndo nzuri sana kwa DATABASE haswa katika kufanya RESEARCH Click to expand... @Ngosi Statistical application no tafauti na Database application.