Naantombe Mushi
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 6,253
- 15,746
Nipatie hizo taarifa mkuu kama unazo.. tutajadili baadaeDuh majeneza tena
Soma uzi vizuri mkuu... Kuna utafiti nafanyaUnahisi kufa?
wakati wengine wanahofu ya vifo vinavyosababishwa na covid 19, wengine wameona fursa katika hilo. kweli tumetofautiana katika kufikiri. Kila la kheri mkuu katika biashara yako mpya unayoitafiti. Ni sehemu ya huduma.Huu mwaka kila biashara itafikiriwa kwa kina.
mwana upo? daah kitambo sanaNENDA HOSPITALI KUBWA KUBWA MFANO MUHIMBILI/MLOGANZILA, KAIRUKI, RABININSYA, CARINAL RUGAMBWA, AGA KHAN, REGENCY, TMJ KWA PEMBENI LAZIMA UKUTE KUNA WAUZA MAJENEZA WATAKUPA INFO ZA KUTOSHA
BEI WANAANZIA 150,000 HADI MILIONI 1,2,3,4 NA KUENDELEA KULINGANA NA UBORA
Asante mkuu aiseeNENDA HOSPITALI KUBWA KUBWA MFANO MUHIMBILI/MLOGANZILA, KAIRUKI, RABININSYA, CARINAL RUGAMBWA, AGA KHAN, REGENCY, TMJ KWA PEMBENI LAZIMA UKUTE KUNA WAUZA MAJENEZA WATAKUPA INFO ZA KUTOSHA
BEI WANAANZIA 150,000 HADI MILIONI 1,2,3,4 NA KUENDELEA KULINGANA NA UBORA
Mi wala sio nafungua.. kuna utafiti nlikuwa nafanya kwahiyo ni kama natafuta dataMoshi kuna wateja sana kwa sasa nenda kafungue huko
Hamna mkuu.. mimi natafiti tuuDaaaa....kwa hiyo mkuu....na wewe pia utakuwa unalalamika biashara mbaya MDA Fulani au hahahhahahhahhhahaa .....kufa kufaana
Watu wanashangaa badala ya kumwaga madiniUzi Murua sana..Sema ndio hivyo topic kama hizi taboo sana kwa Waafrika..
Sent from my SM-A405FN using JamiiForums mobile app